Search results

  1. M

    Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    Chadema haina kijana wa ovyo ovyo wa aina yako wa kufikiria tumbo,huku watu wanakuna vichwa. Watu wa akili ya aina yako ni akina nape! Hivi hata tv uangalii vijana wenzio wanavyokimbilia safina?
  2. M

    Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    Endelea kuota ndoto ya mchana kuwa ccm inachukia ufisadi. umepewa masikio ya kusikia,macho ya kuona na pua za kunusa! ccm wanachukia ufiisadi hupi? Chenge ni miongoni mwa mafisadi wa mwembe yanga,jana kajiudhulu/kaondolewa uwaziri leo ndiye mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya fedha na...
  3. M

    Nani Alikuwa Mlinzi wa Mwalimu Nyerere......?

    On the other hand, it depends much on what you want! If it's spoken english; go through the books,news papers,and for sure through reading or listening Speeches will advance you much!!!!!!!!!
  4. M

    Nani Alikuwa Mlinzi wa Mwalimu Nyerere......?

    Don't mind lady, it will reach a point of no return where you will be inspiring your English! For sure one will let you know whatever necessary to accomplish yur entire desires!
  5. M

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    lowasa kubaki ccm ni hatari na kuendelea kuwemo kundini ni hatari. Ila jamaa haamini kama siasa tayari ameferi,yeye anaona kwakuwa wameuogopa katika gamba anajua anapeta. kwasasa ni m4c
  6. M

    Tawi la CHADEMA Uingereza

    WAcha woga kamanda, mbona tayari wewe hupo kwa wakoloni,unatumia maji yao,vyo vyao,madarasa yao,vyakula vyao,hewa yao,nguo zao,marafiki wao,walimu wao,na kila kitu chao hadi pesa unayotumia huko! Na pengine ukimaliza masomo usirudi huku kwani takuwa umenogewa na wakoloni. Pia kumbuka kuna watu...
  7. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    unajua kipindi kile watu walikuwa wanatafakari hawa peoples power,tena wenye bendera ya rangi nyingi nyingi ni akina nani? Wanapatikana wapi? Wakoje?Wanansema nini? Wakagungua yafuatayo: 1995..........CDM ilikuwa na wabunge 3 wa kuchaguliwa Karatu,Kigoma Ujiji na Rombo. 2000..........CDM...
  8. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Kama mtu anapenda mabadiliko hakuna namna yoyote hatawakwepa cdm,msiogope; wanangu muwe na moyo wa kusubiri kwani wakati wenu umewadia!!!!!!!!!!!!
  9. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Kwa mtazamo wangu kama hata kampeni meneja wa baruhani amejiunga rasmi kwa mkutano mmoja tu,je ikipigwa mikutano 5 itakuwaje si kila mtaa utakuwa cdm. Sasa hivi ni kwamba hata classmonitor ni ccm, hp wa primary schooll ni cdm,n.k! Unajua huu ni wakati wa mabadiliko,cuf tuliwaunga mkono 1995,2000...
  10. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Ccm b tayari imeungana rasmi na ccm,hivyo hao ndio ccm b. Yule sabodo atolei pesa gizani,hoja zenu zilikwisha miaka mingi ndio maana hata wewe unaonekana hufahamu chochote
  11. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    cuf wamejifia wenyewe kimya kimya. Cdm inazidi kuchanja mbuga wewe endeleza uongo wako wa bure bure kwani sasa hivi watuwamefunguka! "uwe jasiri na mwenye moyo wa uhodari,maana wewe ndiye utakeyewavusha watu wangu kutoka utumwani misri" watu wangu wanaangamia kwa kukosa ufahamu
Back
Top Bottom