Search results

  1. L

    Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Lakini waliotekwa na kuteswa zaidi ni way chama kipi? Anzia hapo utapata jibu swafii. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Tundu Lissu anaituhumu Seriƙali, Nchi ama Taifa!?

    Hongera. Umenielimisha kitu ambacho nilikuwa sikielewi vizuri. Kwa hiyo TL anaieleze serikali ilivyo kwa sasa na si Taifa au nchi ilinyo. Kama ni hivyo aendelee Tu na safari zake kwa kuelezea yaliyomkuta. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Hata ikiwa hivyo,hamna maneno kwani Dunia yote imeshajua tulivyo kwa sasa. Siyo tulivyokuwa huko nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Mrs Lissu amlipua Kanjanja Musiba Na genge lake!

    Mpumbavu mwache na upumbavu wake. Ukibishana naye nawe utaonekana kwa mpumbavu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Achana na Kata 77: Kipimo cha kukubalika kwa CHADEMA, ni Jimbo la Buyungu:

    Sawa kabisaa umenena ukweli wacha wajibarakuze.
  6. L

    Achana na Kata 77: Kipimo cha kukubalika kwa CHADEMA, ni Jimbo la Buyungu:

    Hivi wizi na ubabe mbona hatuusemi? Kama kungelikuwa na uchaguzi we Haki na usawa hayo ndiyo yangelikuwa sawa. Otherwise hamna kitu mradi liende.
  7. L

    Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Hata baba wa Taifa aliwahi kusema chagueni viongozi wenye Dini ki uhakika ndio watenda haki na wenye huruma kwa binaadamu wenzake. Huyu mzee ndio tundahalisi la mfano mwema.
  8. L

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Kweli kumbe ndiyo sababu maiti haziokotwi tena baharini.
  9. L

    USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Wasomi wetu Waoga hawatadhubutu kusema lolote la ukweli.
  10. L

    Wafuatao ni wabunge ambao wapo CCM kimwili tu!

    Mtaiba sana kura kwa nguvu?
  11. L

    Paul Makonda atishia kuwasweka ndani Lowassa na wengine wasipoitikia wito wa kwenda kusikiliza madai ya kutelekeza watoto

    Hakuna kitu hapa. Yote haya hamna cha msaada kwa mtu, bali kuna watu wanatafutwa ili wanyanyaswe kama kwenye dill ya dawa za kuleta. Angalieni mwisho wake utakuwaje.
  12. L

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Kwani wizara zinazoshulikia mambo hayo hazipo? Mpaka wangoje mtu mmoja ambaye hata uchungu wa mwana hana?
  13. L

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Ahsante. Hapo umesema mkuu. Makonda hata siku moja hafanyi kitu cha kuleta faida kwa Watanzania wenzake, bali huanzisha kwa lengo la kuja kuthalilisha wengine anaowachukia. Chunguza na utaona.
  14. L

    RC Makonda: Marufuku mtu kutolea matamko ya kichochezi katika Mkoa wangu wa Dar es Salaam

    La, kweli hana hata mtoto wa kusingiziwa? HATARI.
  15. L

    Kwanini CHADEMA hawafungui kesi Kupinga udikteta kama upo?

    Afadhali sana tena sana uwe nyumbu kuliko muuwaji.
  16. L

    Inasikitisha sana: Wanaotoa habari nzito za kuwanusuru watu na mabaya ni "Watanzania waishio uhamishoni"

    SAWA TU KWA SABABU WAO NDIO WANASHIKILIA BUNDUKI NA MADREVA WA MAGARI YALIOUA.
  17. L

    Inasikitisha sana: Wanaotoa habari nzito za kuwanusuru watu na mabaya ni "Watanzania waishio uhamishoni"

    We ni shetani kama huoni yanayoendelea. TUBU KABLA SIKU HAIJAJA.
Back
Top Bottom