Search results

  1. A

    TAMISEMI yakanusha uvumi kuhusu Ajira Mpya za Walimu

    Da hawajamaa nao si watoe tu kieleweke
  2. A

    Dr. Slaa: Wagombania Ubunge watakaohujumu chama watashitakiwa

    itakuwa nzuri sana sasa kwa ambao huwa wanategemea kuchukua form zen wapate kipato kutoka CCM ,wasirudishe form mwaka huu wanalo safi DR slaa
  3. A

    Mh. Mbowe, mh. Tundu Lissu na Marando kuunguruma Tarime Kesho

    haponi mtu mwaka huu hapa waliokuwa wanasema kuna vyama vingine huwa vya msimu ,leo hawapati usingizi. kilala heri makamanda
  4. A

    Mkutano wa CHADEMA uzinduzi wa Kanda ya Kati wahamishwa kiwanja!

    kilala kheri makamanda nawatakia mkutano mwema ,mliopo eneo la tukio updates muhimu
  5. A

    Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

    jamaa ananiachaga hoi ana basi maalumu la kwenda kuzikia watu msiba ukitokea tu gari linapelekwa ,sijawahi ona akitoa gari kumpeleka mgonjwa hosipitali ,ila kwenye msiba haraka, mpaka kunakamati maalumu ya mazishi
  6. A

    Ccm walijua wanaikomoa CHADEMA

    tusifikili sisi kupewa amani na Mungu labda alituona ni wema sana au watakatifu kuliko mataifa mengine hapana, kama Mungu aliileta amani hivyo hata kuiondoa Amani anaweza, utaifa wetu ni bora kuliko dini zetu. tuachane na mambo haya.tupinge namna yeyote ya udini pray you part it can be done
  7. A

    KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

    hivi ni Mungu gani huyo anayeabudiwa na anapenda maovu hivyo, mwancheni Mungu atajitetea mwenyewe .Mungu wa kweli anatuambia tuwe watii na kama kunajambo lipo kinyume tunajua jinsi ya kuwasiliana naye ambapo ni kwa njia ya maombi ,na wala sio kwa mabavu kiasi hicho
  8. A

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    what goes around come around
  9. A

    Mkutano wa CCM kurushwa live ktk Clouds TV na TBC1

    ccm mtaumizwa vichwa sana mwaka huu na huo mtindo wenu wa ku copy na ku pest ,inaonyeshwa mmeshashindwa kutawala sio wabunifu
  10. A

    Mkutano wa CCM kurushwa live ktk Clouds TV na TBC1

    naona marufuku huwa ni kwa mikutano ya CDM ndo waharuhusiwe lkn ccm huwa wanafanya hata kwenye venue za kusomea
Back
Top Bottom