"Daycare School Teacher urgently needed at High Hopes Academy, Arusha"
Deadline 25 Feb. 2023
I am encouraging and insisting everyone with the needed qualification to apply, the post is open to everyone. Be confident that it might be you who is needed.
Hii ni pointi ya muhimu kuzingatiwa, Mwajiri hutaka ubora ulionao na ujuzi, uzoefu au ubunifu utakaoweza kutoa kwa Mwajiri ili kazi unayomfanyia aone tija yake.
Pia sio kitu kizuri kutafuta kazi kwa kusema yoyote, anza kwa kutaja aina ya kazi unazozimudu kisha malizia kwa kusema hata kazi...
ONE OF THE NEWLY ESTABLISHED DAYCARE SCHOOL LOCATED WITHIN ARUSHA CITY MUNICIPALITY (MOSHONO) IS LOOKING FOR A DAYCARE TEACHER WHO WILL ALSO BE PERFORMING ADMINISTRATIVE ACTIVITIES WHERE NECCESSARY
JOB TITLE: FEMALE TEACHER AND ADMINISTRATIVE ASSISTANT.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
To engage...
Badili mtazamo, kitu kuwepo tangu kitambo hakiwezi kuwa kigezo cha kuthibitisha uhalali wake. Mabadiliko hayana budi kuja ikiwa ni ya muhimu. -Wanaorusha matangazo ya 77 kwenye tv na redio wanalipia sh ngapi?
- wafanyabiashara wanaongesha biashara zao na ubunifu wao wanalipaje?
Wangeweza hata...
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nilihakikisha nayajua yote kwanza, nilienda session mbili na ya tatu ilikuwa ni ya kwenda kulipa pesa nayo nilienda mikono mitupu, wakanisihi wanikopeshe ila niweke commitment ya ntakavyo ilejesha. Kuhusu kutafuta wengine wa kujiunga chini yangu nisijali...
Tatizo la waalimu hapa ni kule kukalili mliko kalilishwa kwamba nyie ni kada ya kuonewa kuliko zingine wakati si kweli.
1. Ukiacha watumishi wa mashirika ya Umma na Wakala za Serikali. Walimu mna mishahara sawa na watumishi wengine wote wa Umma kutegemeana na ngazi za elimu zenu.
2. Tofauti na...
Wewe mbona uliishi mwenye furaha mbele za wazazi wako pamoja kushindwa kukununulia viatu vizuri..mnashindwa kula ukitakacho kila siku...unatembezwa kwa mguu badala ya gari binafsi kama wengine..shule yenyewe ulisoma katika mazingira magumu tufauti na wengine lkn mbaya zaidi watoto wako nao wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.