Search results

  1. awp

    Transfer jamani..

    mnalilia transfer wakati 5th round bado....
  2. awp

    TCU wametoa tangazo rasmi 3rd round aplication

    Msaada jamani kwenye profile zetu wamesema select UP to 5 programme na kwenye tanagazo lao TCU wanasema select ONLY ONE programme. sasa tufanye lipi wadau saidieni
  3. awp

    Nisaidieni hili kuhusu TCU second round selection

    Nenda kawasikilize, mi wangu kapata CBG point 8 sawa na 2.7gpa na kakosa round ya kwanza
  4. awp

    Second Round Application TCU

    namimi nataka kujua but i think inakuwa kama 1st selection tu
  5. awp

    Msaada kwenye usajili TCU

    Granted Peter may be network ila mimi kwangu inafunguka coz nimetoka kuwajazia ndungu zangu muda si mrefu
  6. awp

    Msaada kwenye usajili TCU

    Mr. Mangi, usipotoshe...DUCE ilikuwepo tokea jana waliporealese net hadi kufikia saa 4 asubu leo. ila kwa sasa imejaa
  7. awp

    BASATA na TCRA mmulike uchochezi, matusi na tuhuma zisizo za msingi

    Kila nikiusikiliza nacheka sana hasa pale anaposema "Eti unaisaka bikira ndani ya wodi ya wazazi"
  8. awp

    Magufuli aonesha vipaumbele vyake

    KOMBAJR umenichekesha sana siku ya leo na hivyo vipaumbe. nilinuna nimejikuta ninafuraha ghafla
  9. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    mkuu Lisandime, saidia haya maneno nimecopy kwa mkuu hapo huu coz na mimi nina tatizo kama hilo (mimi nimemaliza kujaza program zote tano lakini sioni sehemu ya kuclick ili kusubmit au ndo tayari selection imeisha baada ya kujaza program tu hakuna hatua nyingine tofauti na kuprint? naombeni...
  10. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Mkuu yamekukuta kama mimi PROSCUTOR HUBU, vipi ulifanikiwa kupata majibu
  11. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    mkuu Joline naomba msaada, ukishamaliza program selection kuna kitufe cha confirmation au inakuwaje
  12. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    wanaboa sana mkuu application unafanya wiki mzima......mimi tokea jumapili inanisumbua
  13. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    man of the year, ebu nisaidie ilichukua siku ngapi kureply mail yako. cos na mimi nina tatizo linalofanana na hilo. siku ya 3 leo nimefanya self registration tu basi siwezi kuendelea
  14. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    mimi jumapili nilipojiregister page ya disclaimer haikuwepo ndio inajitokeza leo
  15. awp

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Sio leo tuu tokea jumapili. mimi hadi leo nimeshindwa kuendelea...nimeishia kwenye self regstration option zingine huwezi kundelea. cm either ziko busy au hazipataikani kabisa, wababoa mno
Back
Top Bottom