Ni liability. Ndio hasara ya kutojua kesho. Laitibkm ingekuwa hivyo zitto asingepewa unaibu katibu amefail ofisi yake imekuwa ya facebook na twitter. Ninesoma nae udsm nilimwamini sana na nimehangaika sana pale alipopata misukosuko lakini sasa.....
Tinaongea bila maandalizi kisera za elimu biashara uchumi na mikataba. Kote serikali ipoipo tu haiwaandai watu wanasingizia ardhi hamna lolote hata uzalendo uzalendo gani bila wajibu?
Ben we are loser on this sababu ya ugoigoi wa serikali kwa kipindi kirefu swala la ardhi linatumiwa na serikali kama kigezo kukwepa kukubali ugoigoi wetu ila serikali goigoi haikosi sababu za kujiegemeza ndio maana tunasingizia ardhi kila siku
Insight news, red brigade na blue guard wote wamepatiwa vifaa vya kisasa kunasa matukio yote. Kwa ushirika huu Tanzania itasonga maana chadema wamemwaga technolojia hakuna mfano mengine inaakuwa siri ila tu nishukuru umakiji huu huenda tukawa salama sana tanzania km ccm ikiondoka maana these...
Basi hili nalo ishauriwe ccm iweke hiki nalo ktk katiba hhhhh chadena vibaraja. Heru kibaraka asiye fisadi. Wanataka kutumia uchaguzi wa zimbabwe say tz !=zmbw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.