Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    ...kuaibisha, kufedhehesha na kufadhaisha ni adhabu za kisiasa. Credibility ...NIL...
  2. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Upigaji kura TABATA SHULE YA MSINGI; KITUO A 2 wananchi wanasubiri kupiga kura kwa kuwa makasha ya kutumbukizia kura hayana 'seals'. KITUO A 4, BOXES NO. 527159, upigaji unaendelea bila makasha hayo kuwa na 'seals'. MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
  3. M

    Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Kituo A 2 wananchi wamegoma kupiga kura mpaka mabox yawe na 'seals' Kituo A 4 , BOXES 527159, wameanza kupiga kura bila hayo mabox kuwa na 'seals'. Sijui zitakuja saa ngapi? MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
  4. M

    Uchaguzi 2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Kati ya viongozi wa dini waliokuta Kongamano la Amani la Viongozi wa dini lililofanyika Dar ni kiongozi huyu[emoji116]pekee ndiye katika hotuba yake alieleza kwamba chimbuko la AMANI ni HAKI na USAWA. [emoji1485]Kwanini viongozi wakiwepo wa dini wanaogopa kutamka HAKI? https://t.co/dRbZdyjHWz...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli "theoretically" ameutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na chaguzi zilzo huru, lakini "practically" hatutakuwa na uchaguzi ulio huru!

    Hufanya shauri kumwangusha tu katika cheo chake; Huufurahia uongo. Kwa kinywa chao hubariki; Kwa moyo wao hulaani. They only consult to cast him down from his excellency: they delight in lies: they bless with their mouth, but they curse inwardly. Selah.
  6. M

    Uchaguzi 2020 Viongozi wa dini na wananchi wameshabariki Rais Magufuli kuongezewa muda wa kusalia madarakani?

    "Kila Watanzania kumi,nane kati yao wanataka Rais Magufuli aongezewe muda" ...hivi TWAWEZA wameanza tena kufanya utafiti? Bila shaka sakata la Mkurugenzi wao la uraia limekwisha...[emoji23]
  7. M

    Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Kabla ya hata kusikia nini kilitakwa kuzu gumzwa wamepata public ity kuubwa zaidi hata yale maombi yetu pale KARIMJEE! All other options,I'm sure, are on the table. But,first,the usual 'double standards' have to/been laid bare Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    and jeopardize life. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

    Una maana dish limeyumba? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Mbunge wangu wa jimbo la Butiama yu wapi? Mh. Speaker anazo taarifa zote. Kwa Lissu tu ndiyo ilikuwa taabu. Mwombee!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Kabendera Saga

    The criminal law regime is silent with regards to right of *unconvicted prisoner* or *rumandee* to attend the Burial Ceremony of his parent or any other relative. Both *the Prisons(Management) Regulations, 1968* and *the Prisons Act, Cap. 58* are silent on the matter. Also, the Criminal...
  12. M

    Askofu jimbo la Mbinga: Amani ni tunda la haki

    ...Kazi ya haki ni AMANI, na matunda ya haki ni utulivu na matumaini... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

    Hivi!!? Wa kwanza kuivunja ni nani vile? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Magufuli: Mwaka 2020 uwe wa kujenga umoja

    Hapana Mkuu, Baba Paroko wa pale au wa St Peters azungumze naye ujumbe huu...'Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako...' (Mithali 6:2) Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mkuu, 'TUME YA WARIOBA' ilishapata maridhiano! Yakachakachuliwa
  16. M

    Sasa RC Paul Makonda kama kumbe hili unalijua kwanini usimwambie tu Rais akupumzishe kuliko Kulialia hovyo tu?

    Ngoja niendelee ‘ Kumlilia ‘ Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ‘ Mwamba wa Uzanakini ‘ kule ambako Washamba ( Mambwigira ) kama Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi na Wakara wanatamani sana wanatamani sana Kutembelea na hata kuwa Wazanaki lakini haiwezekani. ...
  17. M

    Hongereni azam kwa kifurushi bomba na nafuu Startimes kwisha habari yenu

    Kweli mkuu, 'National Geographic-wild' wameiondoa, balaa !!!!
Back
Top Bottom