Search results

  1. Robato

    Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Titicomb, Simameni kwenye katiba mliyoapa kuilinda, fuateni sheria kanuni na taratibu tulizojiwekea kama nchi, tuwe na level playing field kwa vyama vyote vya siasa kisha useme/uandike hayo uliyoandika. Siyo unamfunga mikono na miguu mshindani wako halafu unajisifu unajua kurusha ngumi.
  2. Robato

    Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

    Kweli hadi huyu jamaa nae anatajwa!? Dah!
  3. Robato

    Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

    Kwamba matangazo ya kazi yalibandikwa kwenye mbao za matangazo za ofisi za CCM tu.
  4. Robato

    Lipumba amshukia kama Mwewe Maalim Seif

    Kamuulize Zitto kilichomsibu Morogoro.
  5. Robato

    Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu, Telegram ni salama lakini sio salama 100%

    Muammar alifikia hatua ya kuwaita wa Libya mende. Where is he now? Tendeni yaliyo ya haki hamtakuwa na haja ya kuwapigia magoti hao akina Telegram wawafungulie meseji za watu msome.
  6. Robato

    Taarifa ya CUF kwa vyombo vya Habari ilitolewa na Chama cha Wananchi CUF Leo Pemba

    Aisee! Kwahiyo jamaa amefika kabisa Pemba chumbani kwao CUF na akafanya mkutano kabisa na watu 169 wakamsikiliza!? CUF basi tena!
  7. Robato

    Tahrir Square ya Tanzania

    Umepata like 14 tu. That means umeandika pumba.
  8. Robato

    Maxence Melo kaongea, Flavian Matata kasema, Zitto Kabwe kalaani, Mbowe kaandamana hadi NEC

    Ile ID yako ya Chabruma siku hizi huitumii tena?
  9. Robato

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametangaza kutaifishwa kwa meli iliyofanya Uvuvi haramu

    Poa, mwambie akasome Article 58 & 59 za UNCLOS zinasemaje, tumechoka kulipishwa kijinga.
  10. Robato

    DC wa Kigamboni Hashim Mgandilwa, avifunga Viwanda vya Wachina

    Jana DC Ubungo, leo DC Kigamboni. Yawezekana kuna uteuzi unanukia mahali fulani.
  11. Robato

    Anguko kubwa la uchumi: Shirika mama: Wafanyakazi zaidi ya 200 waomba kuacha kazi kisa mteule wa JPM

    Hakika, yani mpaka magari ya mnada nayo anadai storage. Mwezi wa nne sasa hakuna mnada, Civil engineer ameprove kushindwa. Mtoe tu huyu baba, sikupangii lakini. Last month twice Dowuta wamenusuru mgomo wa wafanyakazi.
  12. Robato

    CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    Signs and Symptoms of Schizophrenia for sure.
  13. Robato

    Ipi ni kauli ya Serikali, ya Waziri Nape au ya Rais Magufuli?

    Hakuna jipya hapa mkuu, Kamuhanda alisimamia mauaji ya mwanahabari Mwangosi akapanda cheo. Same script different characters. Huyo Nape mwenyewe kabobo tu, anaanuwa ngoma juani.
  14. Robato

    Chama cha CUF kiko hatarini kufutwa na Msajili wa vyama vya siasa

    Mbona Magufuli hakukaa nakuelewana na Bi Sophia?
  15. Robato

    Mapinduzi hayafanywi na Wasomi, haijawahi kutokea Dunia hii!

    Nynyi ndo mnaomdanganya mkulu awaruhusu machinga wapange biashara zao barabarani na kwenye milango ya maduka mengine.
  16. Robato

    Afufuka baada ya kufa miezi miwili iliyopita

    Kaburi linafukuliwa kwa amri ya serikali/polisi siyo askofu.
  17. Robato

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Suluhisho ni kwa mkuu wa mkoa kutoa vyeti vyake tu hlf wote tutamdharau Gwajima, atoe hata kadi ya kliniki iliyoandikwa Paul basi mchezo utakuwa umeisha, vingine askofu ataendelea kuwa shujaa!
  18. Robato

    Rais Magufuli afichua njama ya Wabunge wa CCM kumng’oa Waziri Mkuu madarakani

    Natamanije alivunje bunge! Yani atakuwa amecheza kama Pele aisee!
  19. Robato

    Asenga DAS wa Rombo awanasa wauza gongo/bangi live Rombo

    Hiyo ni kazi ya kufanywa na constable mmoja tu wa polisi, siyo DAS mzima anaacha kazi ofisini anaenda kukamata tu dumu tuwili twa gongo na vimisokoto sijui sabini. Nchi ya ajabu sana hii.
Back
Top Bottom