Inategemea unaingalia toka upande gani, kwa sisi Wazee wa nguvu za Universe tunatambua kwamba hii ni syncronicity, Universe inakuletea ujumbe na vitu vyako vinaelekea kua aligned.
Kwa wale wa saikolojia watakuambia kwamba hii ni priming na framing. Ubongo unakua umezoea patterns fulani na...
Elimu kuhusiana na jambo hili sioni ikitolewa kwa nguvu kama enzi zetu tukikua. Nakubaliana na ukweli kwamba matumizi ya ARV yamesababisha kupungua kwa janga hili, lakini vijana wanaokua hawana elimu ya kutosha.
Matumizi ya vilainishi kureplace matumizi ya kondomu ni jambo la kuangaliwa kama...
Shukrani Mkuu Andrew. Ningetamani kujua Majanga kwa mfano say mradi mpya kama Stiegler au SGR responsibility ya distaster management bado iko chini ya Jeshi hili?
Ningeomba basi andiko hili pia kuongelea ni namna gani ya kupunguza stress na kuondoa kukosa usingizi ili kumsaidia mletaji bandiko na wasomaji wengine.
Kwa sisi tunaofuatilia Budhism kuna hii inaitwa Noble Truths:
1. Life is suffering (Dukkha) – our desires and expectations do not conform to the reality of the world, which is in a constant state of flux (Anicca), so we experience Dukkha.
2. The origin of suffering is attachment – not only do...
Kwa hiyo ulimwengu ulijikuta tu upo ama?
Kama ulivyosema hapo mwanzoni kila dhana inakwama kuelezea chanzo halisi.
Lakini haimaanishi kwa kuwa hatufahamu chanzo basi hakitokuwepo.
Nafurahi sana kuona mijadala hii inapamba moto siku za karibuni na watu wengi wanaendelea kujiuliza maswali haya. Zamani zile ilikua ni akina Kiranga na baadhi ya wachache wengine.
Mimi namsubiria Elon na Xai yake tuone kama atakuja na jibu hili la chanzo cha Ulimwengunkama alivyoahidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.