Search results

  1. tAi

    Karibuni Baraza la Kahawa

    Nipatie tangawizi tafadhali.
  2. tAi

    Karibuni Baraza la Kahawa

    Hakuna kitu kibaya kama kuchukiwa na unaowaongooza, hakuna jinsi ataputa uchanguzi wa 2020, mtaa ushamchoka.
  3. tAi

    Karibuni Baraza la Kahawa

    Migomo haianikiwi kwa sasa, mwenyekiti wa mtaa huu mpaka uchaguzi ujao wa 2020. Na wasipo badili mgombea wameumia maana mataa mzima watu hawamtaki.
  4. tAi

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Hizi ni chuki binafsi, kila mtu anao uhuru wakuchagua chama akipendacho.... Punguzeni jazba
  5. tAi

    Mume hanifikishi kisawasawa

    Yawezekana mzoea yameathiri utendaji wenu, tatizo laweza kuwa wewe, yeye au nyote. Jaribu kumueleza ukweli wa nini unakikosa sikuhizi na akibidi fanyeni kamtoko japo siku 3 au wiki 1 mkacheze game viwanja vya nje itasaidia kurudisha mzuka. Yakishindikana hayo, nextweekend nitakuwa Dar kitu...
  6. tAi

    Mume hanifikishi kisawasawa

    Ha ha ha, wanawake nyie, angalia asije akakimbia mazima maana atataka kujua umejifunza lini mchezo mtamu. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  7. tAi

    Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

    Ha ha ha, hapa nikuongeza maumivu kwa jamaa, na ushauri zaidi amchunguze utakuta wajanja wameanza na kutumia mtandao wa bei raisi nchini (tiGO).
  8. tAi

    Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

    Kaka Chize, nikisoma respond zako nakumbuka mambo yako pale kwenye yale majengo nyuma ya vilima vya ESAMI, Haya mambo ya kizazi cha dot com. Usiombe yakukute, we yasikie kwa mtu.
  9. tAi

    Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

    Umeshajua box lilikuwa linafungwa mjanja akafaidi umeharibu mipango ya watu... Kama mume ulitakiwa umsifie kavaa shanga, weka yeye kwa bed fungua box kamua mazawadi kisawasawa hatatoa tena nje... Ila kama ni tabia yake pole, natamani nimjue mkeo, mi nataka zawadi ya mwaka mpya. Sent from my...
  10. tAi

    Khaaaaa!

    Inaonekana hata mtumizi sahihi ya simu hauyajui, kama mtu haumjui ilipasa ujitambulishe kwanza kisha ueleze shida yako... Wacha kulaumu wakati ni uzembe wako mwenyewe. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  11. tAi

    Nilijifanya mjanja sasa najuta sijui itakuaje bomu likilipuka.

    Wenzako tukizama game za nje lazima tunavaa buti, hayo ni ya kawaida sana na pengine bidada alishajua kuna sehemu umefika na akaona njia rahisi ya kukuopoa mazima ni kukutega na mzigo tu.. Pole sana! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. tAi

    UTAFITI: Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Daaah, lazima nihamie Tanga japo wiki moja tu. Hivi fast Jet inatua Tanga? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  13. tAi

    Mwanamke wa kweli

    Mpango mzima, huyu ni wife material mazima. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  14. tAi

    Nimsaidieje huyu denti wa chuo??

    Hako ni kupita nacho tu, hauna haja ya kuumiza kichwa, toka nje kamata mzigo vitia ndani kesho akija anapitia kwako moja kwa moja... Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  15. tAi

    akinitolea nje itakuwa je?

    Dogo soma, hao wapo tele tu.. Ukimaliza shule ukapata kazi watakutafuta wao, wacha kujitwisha mastress sasa, komaa na kitabu badae utawakimbia hao. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  16. tAi

    Inakuwaje kumbadilisha rafiki kuwa mpenzi?

    Umechemsha kidogo, kama mlikuwa marafiki ulitakiwa kufanya vitu ambavyo yeye angezisoma hisia zako kabla haujamwambia, na hapo naye bila kujitambua angeanza kukufikiria kwa mazuri yako, ulipaswa kumpa zawadi na mitoko ya ukweli akijastuka usha mgegeda, tena angeanzisha yeye. Next time jipange...
  17. tAi

    Ana hamu iliyopitiliza hadi namwogopa!

    Masharobaro utawajua tu, natamani nikutane nae mimi, Dogo wacha kulia lia utalizwa kweli we ngoja apite angazetu. Timiza wajibu huo, tutakusaidia ukimbiwe. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  18. tAi

    Tukutane tena baadaeee!!!

    Angalia lakini hiyo baadae isikukute na mchecheto inaweza ikawa kimeo, relax mtoto, ukavishwe nepi.
  19. tAi

    Je hii ni adabu? Naoa kesho.

    Mitego mingine inahitaji ujasiri kunasuka... Ila mwana ungekusanya hiyo kash, kisha unamtosa ombi mazima ili naye ajue maumivu aliyokuachia awali. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  20. tAi

    CCM chanyofoa sera ya CHADEMA kuhusu ujenzi wa nyumba

    Unachotueleza hapa ni kwamba hakuna sera hata moja inayofanana kati ya CCM na CMD? Sera ikiwa inamshiko na inatkelezeka haijalishi cha msingi ni kwetu sisi walala hoi tupate ahueni kutokana na hiyo sera.
Back
Top Bottom