Search results

  1. B

    Mgunduzi wa AK-47 PICHANI yu mahututi

    na Dragonuv je ni silaha gani?,na jahkahama,uzi,sparz...
  2. B

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    sawa sawa Mdhamini nimekusoma,hii thread yako inaonyesha we ni Muislam wa tofauti sana.
  3. B

    JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Nendeni Kenya ndo mkaone Jeshi linafanya kazi gani.Kuanzia saa 12 jioni ni full doria na SMG ziko front.Tanzania tunachezea Amani yetu.Waislam mnamasiala sana.Mambo ya Watoto mnatuchanganya Wakristo wote na kuchafua hali ya Nchi,Shauri yenu nawaambia.
  4. B

    Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    Mapichapicha haya au chengachenga
  5. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    kuna Mchangiaji kutoka eneo la Jangwani anawakilisha. Walislam wamegomea Sensa,Wamechoma Makanisa pasipokuwa na Mahakama ya Khadhi.Ikianzishwa si ndo watatumaliza?
  6. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Inanisilitisha Mpaka Muda huu,Imebaki Dakika 50 Jukwaa lifungwe,Sijamsikia Mtu mwenye MA,First Degree wala Diploma kuwasilisha Maoni.Nimesikia Wasio na Elimu,Std 7,Form 4 na Form 6,Sijui wengine wana hide CV au ni vipi...
  7. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Mkuu wa Mkoa achaguliwe na Wananchi kwani Watamchagua Mtu anaye ujua Mkoa husika.Tabia ya kupeleka Wakuu wa Mikoa wageni,inawapunguzia ufanisi katika kazi kwani hawajui vizuri Mikoa wanayo iongoza.
  8. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Mawasiliano na Tume ya Katiba Email: maoni@katiba.go.tz Tovuti:Tume ya Mabadiliko ya Katiba Facebook: tumeyamabadilikoyakatiba Barua. Tume ya Mabadiliko ya Katiba S.L.P 1681,Dar Es Salaam S.L.P 2775,Zanzibar Tafadhali taja Jina Kamili,Jinsia,Mahali unapo ishi,Umri,Elimu na Kazi ndipo...
  9. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Kuna Mwakilishi anasema Kama wimbo wa Taifa unamtaja Mungu,iweje tuseme Serikali haina Dini?,huo ni utapeli. Katiba itamke wazi kuwa Ijumaa ni mapumziko na Jumapili.Ijumaa ya Waislam na Jumapili wa Wasabato na Wakristo. Pia anaomba mahakama ya Khadhi. Anaomba OIC iwekwe kwenye Katiba.
  10. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Wanachi wawe na uwezo wa kuwaondoa Wabunge na Madiwani pale ambapo hawata onyesha kuwajibika ipasavyo...
  11. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Kuna Mzee anachangia,anaomba Elimu kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita iwe bure.Pili Mbunge anapokatiwa rufaa na kupokonywa ubunge,Mbunge wa pili ndio apewe ubunge kuepuka gharama za uchaguzi sizizo na sababu.
  12. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Kuna Mama anahoji,Kwa Nini Waislam wanataka Mahakama ya Khadhi?,kwani kama ni kesi za Ndoa,mbona Wakristo wana huwa wanatatua matatizo ya Ndoa kwa kutumia Wachungaji na Mapadri?
  13. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Kuna Siter wa RC anaombakuwe na Muda wa Kikomo Bungeni.Miaka 10 kama kwa Rais na Rais aondolewe kinga ya Mashtaka.Akifanya fyongo,ashtakiwe kama waahalifu wengine...
  14. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Kuna Mama ameomba Ijumaa iwe siku ya Mapumziko kama Jumamosi na Jumapili.Amesema wasabato ni wachache lakini wanapumzika Jumamosi,Waislam ni wengi lakini hakuna Mapumziko Ijumaa.So Ijumaa isiwe siku ya kazi...
  15. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Jamani,Naona mijadala ya Udini inatawala hapa.
  16. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Mama wa Kiilslam anawakilisha kuomba mahakama ya khadhi pia anaomba vazi la ijabu liingizwe katiba na litambulike kama vazi la heshima jwa wanawake...
  17. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    kunagawiwa fomu.Kwa wasio taka kuongea watazitumia kujaza maoni yao. Kwa wanao taka kutuma maoni kwa njia ya sms,Andika Jina,Kazi,Mahali unapoishi,Tuma maoni yako kwenda namba 0715 / 0787/ 0767/ 0774 081 508
  18. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Kuna kina Mama wa Kiislam nawaona Mbele yangu.Kweli wamejipanga na shughuli hii.Inapendeza.Wako na vikaratasi vina maandishi fulani wanakumbushana,Inaelekea walikuwa na Darasa Maalumu ya hili na nini waje waseme.Nasubiri watakacho kiwakilisha NIWAJUZE WANA JF.
  19. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    hii kitu mimi sielewi.Zanzibar walifanya hivi na wakapata katiba yao.Leo hii Tanzania tunafanya na kuna wawakilishi kutoka Zanzibar.Mimi nilidhani hapa tunachanganyana.Zanzibar wamefanya wenyewe.Tanzania tunafanya wote,Why?.Kuna haja ya kuwa na Serikali 3 au serikali Moja hapa...
  20. B

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Wajumbe ya Tume ya Mabadiliko ya katiba wanajitambulisha.
Back
Top Bottom