Search results

  1. A

    Hila za kidini zinathibitishwa na kiongozi wa uamsho

    Tukikumbuka mauaji ya Raisi wa Rwanda,ilisemekana aliuliwa na watusi, ila ukweli ni kwamba wahutu ndiyo walimuu Raisi kwa kutungua ndege na huyo Raisi alikuwa Muhutu. Wahutu walifanya makusudi ili wapate sababu ya kuwaua watusi kwa kuwasingizia wamemuua Raisi ambaye Mhutu mwenzio. Na kweli...
  2. A

    Natafuta kazi mkoa wa Mtwara nina BA(SOCIOLOGY)

    Naishi mkoa wa mtwara natafuta ajira yoyote ya part time or permanent.
  3. A

    Natafuta kazi Mtwara

    Natafuta kazi mkoa wa mtwara,nina B.A(Sociology) please.
  4. A

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Jamaaaaaaaaaani,watayalipa yote haya,damu yako uli,ni ishara ya ushujaaa
  5. A

    Shelukindo katikisa Taifa kwa dakika 10 tu.

    Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani...
  6. A

    Shelukindo katikisa Taifa kwa dakika 10 tu.

    Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani...
  7. A

    Tafadhali mnyika asidhurike

    kina nanii wamezoea kukata mapanga,kuchinja,na kutega ajari,mawazo ya mtu yanaheshimiwa,na mkipayuka,au kukulupuka mnawapa nguvu wanawaita wadhaifu,hasa kwa wewe uliyetangaza vita binafsi na mnyikakwa taarifa yako hujatangaza vita na mnyika,ila umetangaza vita na sauti ya uma.
  8. A

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Mzoea kukata kuchinja,kukata mapanga,hasa wewe uliyetangaza vita binafsi,hamuiwezi sauti ya uma,na huo ndio uzaifu,maana mtu kutoa mtazamo wake mshavimba,tena mngetafakali,wasemayo wapinzani bungeni ni yasemwayo na wananchi
  9. A

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Uhuru wangu, wabunge hasa wa chama tawala onyesheni ukomavu wa kisiasa, acheni kupaniki,mnavyopaniki ovyo mnazidi kuwapa umaarufu wapinzani, hilo bunge mmelishusha hadhi sana,mnatumia ubabe na hataki ukweli,watanzania tunaona, na tunachoshwa na vioja vyenu...CCM wakiongea vibaya hawatolewi nje...
  10. A

    CCM hawana Chao Jimbo la Iringa

    Jamani kweli ccm imeishiwa,nawashauri wasiige ya chadema,maana wanajiharibia zaidi.
  11. A

    CHADEMA yazindua Mtwara kweli kweli

    Jamani Mtwara kumezinduka, Mungu mkubwa hukomboa waja wake kwa wakati wake, miaka mitano iliyopita Watu wa Mtwara walikuwa mbali na ukweli, hawakutaka kuukubali ukweli kwamba wanateseka na maisha ya sasa, watch out in 2015.
Back
Top Bottom