Search results

  1. T

    KOVA: Tumejipanga kwa ULINZI MKALI UNAOONEKANA na USIOONEKANA

    kova awaulize hawa walinzi walikuwa wapi mpaka hawa waandishi wa habari wanapita na kwenda kuangalia mechi ingawa wana silaha. Huku ndo kujipanga ulinzi unaoonekana na usio onekana?
  2. T

    Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

    ukichangia bungeni kwa manufaa ya wanachi wako walio kuchagua basi wewe ni "wao"......kazi kweli kweli......
  3. T

    huu ugonjwa unatibika vipi?

    Habri JF kuna kitu naomba kukileta kwenu tusaidiane kulitatua. Tatizo la kutojiamini mbele za watu. Mtu anaweza akawa anajua kitu lakini akaogopa kujielezea mbele za watu.hasa linapokuja swala la kujielezea kwa english,tabia ya kuogopa kuchekwa utakapokosea kujielezea..ama inapotokea umesimama...
  4. T

    Bank ya CBA wamlipa diamond ten million

    kwa iyo uliweka uzi wako na leo ukitarajia wamponde pia ama?
  5. T

    mwanamke anapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza

    hii tunaita PLAGIARISM utafungwa.........jaribu kuquote source basi......
  6. T

    Jimama linanitega

    umesema namba ya simu yake huna.......ama hg ametumwa kuja kukwambia anatoka getini???:confused2:
  7. T

    Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    sio vibaya....doubts zinakuja ni kwa nini watimue mbio baada ya kumwona dr. slaa???
  8. T

    Dk Salim, Nchimbi, Tibaijuka waula CCM

    Tara kafanyaje tena
  9. T

    Mahojiano yangu na Mtanzania: Nitagombea uenyekiti wa BAVICHA

    Huyu dada nashindwa kumwelewa kabisa....hapa sijui kama anakijenga chama ama anakibomoa.....anasema yeye ni muumini wa zitto...zitto juzi kasema ndani ya chama hakuna ukanda wala ukabila...ila naona kakomaa tu na kauli zake chafu...
  10. T

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    hapana kutuliza ghasia.....wananchi walikuwa wanataka kumgawana
  11. T

    Uasi wanukia CHADEMA

    huyo mbunge mmoja.......:confused2:
  12. T

    Barua ya Kumfukuza Juliana Shonza na aibu kwa BAVICHA

    ulishangaa ama ulijishangaza............
  13. T

    Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

    Na kwa nini mpaka leo hamjamvua gamba basi kama amewasaliti na kukiponda chama chenu ilhali bado ni mwanachama wenu....katiba yenu inaelezea kabisa ni namna gani mwanachama wenu anapoteza uanachama kwa mambo kadha wa kadha yalioyaorodhesha..."Ni mambumbumbu" says lissu......
  14. T

    Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

    Na wasiwasi kama sisi tunaojiita wanachama wa chama kama tunazielewa na kuzipitia katiba zetu za vyama....ama la sivyo basi kunauwezekano tunafunza vichwani....
  15. T

    TAARIFA ya kuvuliwa uanachama CHADEMA kwa Juliana Shonza(M/Kiti), Mtela Mwampamba na Habibu Mchange

    Swali linaweza kuwa pia....zitto hivi kwa nini haupatani na ben saanane......?
  16. T

    TAARIFA ya kuvuliwa uanachama CHADEMA kwa Juliana Shonza(M/Kiti), Mtela Mwampamba na Habibu Mchange

    And we also need to know who is funding zzk against his opponents....as we also knw that these battles need cash and motivation...... Just asking....
  17. T

    Wassira kumwakilisha rais Kikwete kuapishwa rais wa Ghana

    usingizi in Ghana......!!
  18. T

    PICHA: Mikutano ya kupinga gesi yaendelea

    unanikumbusha ile kauli ya Karume dodoma........."vichwa vya samaki"......nilicheka sana....
Back
Top Bottom