Search results

  1. chash

    Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

    Kwanini wewe umeamua kujiita deceiver?
  2. chash

    Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Pamoja na kuwa umejitetea kuwa mjumbe auwawi ingebidi upigwe ata makofi kadhaa ili uamke usingizini. Fact: Ni bora hisa zimilikiwe na watanzania ata kama ni serekali yenyewe sbb faida ya benki miaka nenda miaka rudi inayo tolewa kwa wana hisa na kupelekwa nchi za nje itakuwa inabaki hapa hapa...
  3. chash

    Msaada huu mmea unaitwaje?

    Demand ya castor oil ni kwa kutengeneza mafuta ya nywele ya waafrika majuu. Haswa wanahitaji black.
  4. chash

    Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

    Sidhani. Madaktari wa Kenya ni mabingwa wa wrong diagnosis. Mradi wale hela yako tu.
  5. chash

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    mmh? Kumbe kuanza biashara bila utafiti wakutosha ni hatari kiasi hicho? Hao australorp nawapata wapi na vifaranga ni bei gani?
  6. chash

    Shamba Linauzwa

    Shamba linauzwa, Ekari 6, Lipo Kisarawe km10 kutoka bandari kavu. Bei 1.5m kwa ekari, , linafaa sana kwa kilimo, maji yapo. Simu: 0784 474 383
  7. chash

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Wewe sio mchagga. I can bet 1m. Nasema hivi kuwasaidia ladies wakichagga Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  8. chash

    Kuna kila dalili ya Umoja wa Afrika Mashariki kuvunjika

    Kwa hiyo serekali watakuwa wanaachiana makabila mawili sbb naye ruto anasubiria pia zamu yake baada ya uhuru? Wengine hawataki urais? Even the smallest tribe makonde or ongiek have the right to produce a Kenyan president without bribing another tribe with the country's resources which belong to...
  9. chash

    Kuna kila dalili ya Umoja wa Afrika Mashariki kuvunjika

    Utashangaa na roho yako yote. Wakenya wameshaamka. Urais utazunguka kwa makabila yote 45 la sivyo nchi itagawanywa vipande 47. Kila county kivyake. Kabila moja imeshikiwa kichwa kukamua ngombe, wameinyonya maziwa yameisha, wamenyonya na damu ngombe amekufa sasa hiyo nyama itagawanywa kwa wote...
  10. chash

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Anapewa na nani. Kati ka nchi ya ukabila ya Kenya kabila moja na nusu zitampigia Kenyatta na makabila 142 na nusu wamesha jiandaa kwenda Canaan na Raila. Labda kuna kura zitaletwa na lowasa ambaye ameenda kumuambukiza Kenyatta ugonjwa wa kushindwa uchaguzi. Birds of a feather flock together...
  11. chash

    Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

    Sasa hivi kila biashara wanajitahidi kulipa kodi na kunyoosha uendeshaji wa kazi ili kuendana na maadili mapya. Nchi inanyooka, viongozi wamekuwa makini balaa, ukitizama kwenye luninga kila kiongozi amekuwa Magufuli kwenye usimamizi, watu wanachapa kazi. Kwa kweli tofauti ni kubwa, serekali...
  12. chash

    Je, Ni kweli Mungu ndio mwenye enzi yote?

    Mamlaka yote amepewa Yesu naye akatupatia sisi wanadamu. Soma neno, ni wapi umesoma kuwa shetani ana mamlaka? yeye anakuja kuiba, kuuwa na kuangamiza. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. chash

    Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

    Mbolea, madawa, bei ya mbegu, labour, gharama za kupeleka sokoni i.e gari litabeba matikiti mangapi kwa bei gani? je ni kilimo cha kutegemea mvua au umwagiliaji? Shamba umekodisha au la kwako? zingatia hayo yote kwenye mahesabu yako. Kila la kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  14. chash

    Wana Kigoma: Njooni mtusaidie kwanini Kigoma uwe mkoa masikini kuliko yote Tanzania?

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa... (Hosea 4.6) Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  15. chash

    Magufuli Mapumzikoni Chato

    Tanzania imebarikiwa na kiongozi wa ukweli! Great Leader! Mungu ambariki hadi ashangae.
  16. chash

    KDF Yanunua helicopter 12 na zana zingne za kivita

    KDF wanaenda kupiganana nani wakati Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  17. chash

    SportPesa yatishia kuhamisha makao makuu yake kutoka Kenya kuja Tanzania

    Ha ha ha! Hawa ndio wamechukuwa nafasi ya viroba kufilisi vijana wetu. Sasa kutoka Kenya kwa ajili ya kutotaka kulipa kodi wajue wameruka mkojo wakakanyaga mavi. Tanzania kodi haikwepeki sasa hivi. Napendenkeza waende uingereza ndipo wanapopeleka hela ya wakenya ku support timu za premier...
  18. chash

    Kenya ranked third in Africa for cybercrime readiness

    Nakubali 100%. Namba 3 on cyber crime worldwide. Namba last on real crime worldwide. Ndio sababu ma shabab wameifanya nchi kuwa eneo la haja ndogo. Any time wakijisikia wanaingia tu. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  19. chash

    Msaada nashindwa kutrack mzigo nilonunua aliexpress

    Usiwe na stress mzigo utafika tu. Ali express hawana connection nzuri za kuleta mzigo east africa. Ndio sababu biashara ya drop shipping inafeli huku. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  20. chash

    Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

    Tuseme sisi sio asilimia mia wanyama lakini hili linatuhusu kufikiria. Tukijitambua kuwa sisi ni half wanyama half watu itatusaidia sana. Au mnasemaje wanyama wenzangu? haswa wewe animal ulio leta mada? Tukiweka point by point mwafrika anaegemea kwenye animal zaidi. Kati ka evolution theory...
Back
Top Bottom