Search results

  1. kbosho

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    Amini nakumbia wengi ni connections, kuna mtu hakuitwa Oral, na kwenye mafunzo ya Ajira yupo mbele kabisa! Hii ni Africa
  2. kbosho

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    Mkuu wengi walioitwa wengine hata hawakuitwa Oral, wengi ni watoto wa wakuu wa Idara ndani ya TRA.
  3. kbosho

    Nape, huna maadili ya kukemea waliokosa maadili juu ya uzushi wa Makamu wa Rais Mpango

    nape ni kati ya mawaziri wajinda na wapumbavu kwenye hii inchi...anauwezo mdogo sana wa kujenga hoja ana kufikiri
  4. kbosho

    Naomba kujuzwa kuhusu ajira za TRA 2023

    So it means hawatumi tena email.....
  5. kbosho

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mkuu hiyo ndio shida....wengi walio tumiwa email wengine hata hawajafanya interview ya Oral
  6. kbosho

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mkuu hiyo ndio shida....wengi walio tumiwa email wengine hata hawajafanya interview ya Oral.....
  7. kbosho

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Hii inch inawenyewe....ukitaka kuamini, Watumishi wengi wa TRA wazazi wao nao walikua TRA.....bora hata kipindi Utumishi ilivyokua inaajiri, hata watoto wa masikini wasio na connections walipata....ila sio sasa!
  8. kbosho

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mkuu ni kweli....wameita watu kupitia njia hiyo, yote ni kuficha majina ya watoto wa vigogo na ndugu wa watumishi wa TRA.
  9. kbosho

    Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Custom waliitaji watu wangapi??
  10. kbosho

    Maprofesa wakosoa wagombea vyama vya upinzani kuenguliwa

    Haijawai kutokea toka kuanzishwa kwa Vyama vingi
Back
Top Bottom