Search results

  1. C

    Wanandoa, hii imekaaje?

    hapo inatakiwa kuwa muwazi kwa mkeo/mme umujulishe marafiki ambao siyo wapenzi ili ajue kuwa unapowasiliana nao si kwasababu ya kimapenzi ila ni kwa ajili ya mambo ya kimaisha. lakini kama hamutakuwa wawazi katika ndoa yenu basi urafiki huo utasababisha ndoa kuvunjika kwasababu katika ndoa...
  2. C

    Ndoa ya aina yake,mwanamke ajioa mwenyewe,aangusha sherehe ya nguvu!!

    Labda anajinsia mbili anaweza kujitimizia mahitaji yake ya mwili yeye mwenyewe maanake wenzetu ndiyo maana wanaitwa developed countries wameendelea kwa mambo mengi.
  3. C

    Ushauri kuhusiana na hii ndoa

    Una mke wako wa ndoa ya Serikali/Kanisani/Kimila na huenda Mungu amewajalia mukapata mtoto/watoto. Lakini katika ndoa yenu mkeo anataka arudiane na mpenzi wake wa zamani. Unamwambia nikupe Talaka anakataa lakini usiku wewe ukiwa umelala yeye analala sebuleni na anaongea mambo ya kimapenzi na...
  4. C

    Ipi ni sehemu muafaka ya kukutana na mume/mke

    Hi JF members, Sehemu nzuri ya kukutana na mke/mume ni popote pale. Mke/Mume anatoka kwa Mungu. Hivyo kwa kuwa suala la mke/mume ni mpango wa mwenyezi MUNGU, Mungu anaweza kuwakutanisha popte pale mfano katika Bustani!
Back
Top Bottom