Search results

  1. B

    Kazi ya uhasibu.

    noted with thanks.
  2. B

    Lipi bora kati ya biashara na elimu katika maisha?

    Unaweza kufanya vyote, itategemea na chuo unachotaka kwenda kusoma, na wewe mwenyewe utakavyopangilia muda wa shule na usimamizi wa biashara. kama upo interested na biashara ni vizuri ukasomea masomo ya biashara.
  3. B

    Kazi ya uhasibu.

    ahsante kwa ushauri ila mi ni dada.
  4. B

    Kazi ya uhasibu.

    yes al zagawi! Unashangaa jina?
  5. B

    Kazi ya uhasibu.

    Wanajamii natafuta kazi ya uhasibu. Mi ni fresh graduate, nina experience maana nilifanya field kwenye accounting department na nimewahi kuwa cashier kwenye associations za wanafunzi chuo. Kwa yeyote anaeweza nipa channel ya kazi naomba tuwasiliane kwa private message. Natanguliza shukrani.
  6. B

    Nimempenda sana msichana huyu!!

    Huwezi kuzizuia feelings ila kama una aina ya mwanamke ambaye ungependa kuwa nae (probably umeshaset standards zako) nakushauri uonane nae kwanza na mjipe muda wa kufahamiana. Kama upo katika kipindi cha kusaka mke waweza jikuta unaangukiwa na jumba bovu. I know ladys weng wa fb mvuto zero ila...
  7. B

    Knowing The Unknown

    Suluhisho hapo ni kufanya mipango ya kuishi na huyo dada kihalali. Ila wanawake wanapenda ndoa hadi wapo tayari kurisk maisha yao.
  8. B

    Urafiki wa Members Jf umekaa KIUNAFIKI zaidi, kuliko uhalisia.

    I love meeting with people,kufurahi pamoja but am new hapa. Is this thread for members wa muda mrefu or hata kwa sisi wapya? I think watu wakishazoeana jukwaani wanaweza kujikuta wanataka kukutana ila kama hamtopatana hapa hata kuarrange for seen each other ngumu. Nipo dar, wilaya ya...
  9. B

    Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

    Hapa mnaongelea husband material au wa kuzalisha tu then anatimua vumbi? Wanawake wengine hatupendi comittment za ndoa ati.
  10. B

    I'm bankrupt

    ahsante mwenyeji
  11. B

    I'm bankrupt

    King Kong III, naomba ufafanuzi please.
  12. B

    I'm bankrupt

    thanx cacico, can you please show me hiyo corner ya kwenda kuketi? Mgeni nina kamba kwa miguu.
  13. B

    I'm bankrupt

    Ulimakafu and Globu thanks sana. Nimeshakaribia ingawa mambo mengi bado siyafahamu.
  14. B

    I'm bankrupt

    BAGAH identity yangu inakupa mashaka gani? Ya kwako inanipa hamu ya bagah
  15. B

    I'm bankrupt

    Hellow wanajamii, am a new member. I hope to learn and have fun with you. Cheerz!
Back
Top Bottom