Search results

  1. B

    USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Serikali yenyewe imeitelekeza bandari ya Dar huyo DG ataweza nini? Mkataba wa TICS ni kandamizi na TICS hawaperform na hawajawahi kuperform. Bandari haina miundombinu itakuwaje efficient? Yaani hata hivi vidaraja hicho cha Tazara na hicho kingine kinachojengwa cha Uhasibu vyote vimeigonore route...
  2. B

    ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

    Utakuwa unachanganya na Bonney M mkuu bila shaka.
  3. B

    Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

    Mkuu una options 2 tu kwako. Kumpenda boss wako na kumkubali au kuachana na hiyo kazi ili usiwe naye karibu. Vinginevyo kuna gharama kubwa sana hasa za kiafya utazilipa huko mbeleni utake usitake. Huwezi kukichukia kitu unachoishi nacho halafu ubaki salama. I'm sure ww kama wengineo unatumia...
  4. B

    Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

    Hivi kwani tuko kwenye vita wa sasa. You are not being fair Kwa Nyerere kwa kulinganisa nyakati za vita na nyakati zisizo na vita. Kuna kipindi cha Nyerere serikali ilikuwa inatoa hand outs kwa raia wake kiwango ambacho hakijawahi kutolewa na awamu zingine zote zilizofuata.
  5. B

    Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

    Mkuu unasahau kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ni ripota tu? She is not analytical and never she will be. Lazima kama nchi kuna mahali tulikosea sana maana si kwa fimbo hizi.
  6. B

    Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

    Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
  7. B

    Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

    Halafu kuna mtu alisikika akisema 'Yaani Tsh 100 tu kwa lita mnalalamika?' baada ya hiyo kauli nikajua tumepigwa mby kbs.
  8. B

    Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

    Mkuu kama hapa kwetu mlaji (final consumer) anailipa serikal mpk compensation ya loss on evaporation ya hayo mafuta yakiwa njiani huko kwenye maji bado unatarajia bei zetu ziwe chini ya hao majirani? Siku ikitokea tukapata serikali inayowajali watanzania ndiyo itakuwa sahihi kufanya huo...
  9. B

    Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

    Sisi si wa level hizo mkuu tumeambiwa sisi tujilinganishe na US Taifa lenye nguvu zaidi duniani.
  10. B

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    Mkuu kuna mahali sisi sote kama nchi huenda tulimkosea Mungu ndiyo maana ya haya yote. Kwa hiyo zile tozo kandamizi nazo ikitokea zinaondolewa itaonekana kuna nia ovu ndiyo maaana zinaondolewa au???. Hii si akili ya kawaida hata kdg. Kama mtu anaweza kuafford bundle la internet anawazaje kuwa na...
  11. B

    Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Ukimuona anapoongea utasema kiongozi si ndiyo huyu kumbe Mungu wangu ni bogasi la kutupwa. Halafu kuna mtu tunaambiwa anaupiga mwingi wakati wizi umetamalaki kila kona hivi vigezo vyetu vya kuwapima viongozi viko anti clockwise mbona kama sielewi??!!!!
  12. B

    Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Hivi viongozi wetu ni nani aliyewaambia kwamba watanzania wote ni wajinga? Umekuwa ukifura siku zote baada ya hapo hkn cha maana kinachofanyika. Mwaka jana ulifura sana Temeke khs usifadi wa ujenzi wa barabara ya kijichi mpk kigamboni. Baada ya kufura ni nini kiliendelea? Ni heri mkae kimya na...
  13. B

    Ludovick Utoh: Mapendekezo ya CAG huwa yanafanyiwa kazi, ila sio yote

    Hkn anayechafuliwa kama hukufuata taratibu ni wewe usiyefuata taratibu ndiyo umejichafua. Mfano Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma wamechimba kisima cha 300m wakakitelekeza ni nani amewachafua hapo kama si wao wenyewe kujichafua? Au MSD staff mmoja analipwa 72m kama posho ya safari ya...
  14. B

    Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!

    Besides, nani kasema changamoto yetu kwenye utalii ni kutokujulikana kwa vivutio vyetu? Studies kibao zimefanyika khs hili hata sisi ambao utalii si fani yetu tunafahamu changamoto za utalii wetu ni ukosefu wa hotel nzr za kueleweka, gharama kubwa za hizo hotel chache zilizopo na mengineyo...
  15. B

    Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!

    Ni aibu tupu mkuu to say the least...........
  16. B

    Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!

    I feel you mkuu. Kama ilivyo kwa mtoa post, mimi pia umri wangu ni 40+. SIna hakika kama tuko sawa. Mfano mmoja tu, sikumbuki mwaka ambao mkuu wa nchi alikuwa nje ya nchi kwenye visit ya kawaida ambayo si dharura kama matibabu kwenye siku muhimu kama ya leo tunapoukumbuka muungano wetu. Mimi...
  17. B

    Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    Heading ya bandiko lako inasema siku 5 unamaanisha nini maana ziara ya US ni ya wiki 2 mkuu.
  18. B

    Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

    Unamuunga mkono kwa kuunga mkono bloodshed, am I reading you right?
Back
Top Bottom