Search results

  1. kamanzi06

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Wakiona unakula wao wamefunga wanalalamika Sana eti unawaharibia swaumu, juzi Kuna jamaa alipost picha ya chakula kipindi hiki cha mfungo, wakaanza kumsema, imagine
  2. kamanzi06

    Ushauri Mchumba Mkurya Mbabe

    Mwambie akaze asikae kimayai mayai
  3. kamanzi06

    Mwanaume kulia kisa mapenzi ni udhaifu uliopitiliza

    Kwanza mwanaume ukilia huyo mwanamke ndo unamkosa kabisa
  4. kamanzi06

    Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

    30 na 31 zote umezizidisha kwa 9,which means majibu yake yanagawanyika kwa 9 Number yoyote inayogawanyika kwa 9, jumla ya tarakimu zake Ni 9.
  5. kamanzi06

    Ushauri: Single mama, hataki pesa kidogo ya matunzo ya mtoto

    Huyo ni mtoto wa Kishua kweli? Looks like choka tu
  6. kamanzi06

    Okay sweetheart now I'll let you go! Nenda mchumba🥺

    Frying dutchman haliilii hovyo, kufa kiume
  7. kamanzi06

    Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Hata akiwa na kitochi, message ya mpesa inatosha sana
  8. kamanzi06

    Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Umefanya jambo sahihi kuokoa maisha yake wala Usijisikie vibaya Pia huyo mume kushindwa kulea mkewe anategemea, we fanya msaada unapoweza ila usitoke nae kimapenzi maana Mmetoka mbali, na huyo mume kumuoa haraka haraka kisa kukukomesha wewe, alifanya kosa kubwa
  9. kamanzi06

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Watoto wao wapo kwenye Hali gani sasa?
  10. kamanzi06

    Ushauri: Mpenzi wangu ni mkavu sana na hataki nimchezee kwa vidole

    Tumia unlimi then njoo tupe mrejesho
  11. kamanzi06

    Bibi yangu alikuwa hanipendi nilivyokuwa mdogo, sasa hivi haishi kunipigia simu

    Unaweza kuonyesha aina hii ya upendo kwa mwanao? Let's call a spade a spade bwana
  12. kamanzi06

    Bibi yangu alikuwa hanipendi nilivyokuwa mdogo, sasa hivi haishi kunipigia simu

    Kuna mzazi mmoja huko marekani aliwaita watoto wake wa kuwazaa wawili, mmoja alimuita winner, mwingine alimuita looser. Winner alikuja kuharibikiwa wakati looser alikuja kuwa polisi. Fikiria changamoto aliyokuwa anapata looser, no funzo kubwa Sana
  13. kamanzi06

    Bibi yangu alikuwa hanipendi nilivyokuwa mdogo, sasa hivi haishi kunipigia simu

    Pole Sana kea experience mbaya ya utotoni, treatment ya namna hii ni ngumu Sana kutoka akilini, Inawezekana Ukaishi nayo for the rest of your life. Kaza moto mpende Bibi.
  14. kamanzi06

    Nimekoma, yule mwanamke ni chuma ulete

    Haha let's number take tumhudumie
Back
Top Bottom