Search results

  1. A

    Yona & Mramba case

    Nimesoma kwenye ThisDay leo ANALYSIS: Mramba and Yona’s case: Is this the beginning of the end? IBRAHIM WERREMA THE presidential jet was bought. I am told it is currently not of much use, though! I am told further that the plane is too small, too big and too costly to keep in...
  2. A

    Rais Mteule Barack H. Obama!

    Denial State
  3. A

    Rais Mteule Barack H. Obama!

    Mwanakijiji unachanganya mambo sasa! Do not undermine the significance of things, e.g the step this nation, US, has made through the years. That's why you hear many women voting for McCain just because of Sarah Palin. Let them! They feel like their time has come. People vote for numerous...
  4. A

    Natafuta kazi

    Sawa lakini ungeipitia vizuri basi hiyo barua yako ya maombi ya kazi ili hayo makosa yaliyomo yarekebishwe. Maana ndugu yangu hiyo lugha na hiyo kazi unayotafuta, iko shughuli!!!
  5. A

    Waziri wa Nishati na Madini awawashia moto Wakorea kwa kumdharau

    Sina hakika kama ni lazima tujadili kila kitu lakini naona kama ndio trend yetu hapa JF. Lakini inashangaza sana kuona habari za heshima zinaingia hapa. Kwangu mimi nadhani hawa ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine. La muhimu kwao ni tija na wala sioni sehemu heshima inapoingia. Kama...
  6. A

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Kifo cha Wangwe ni tukio halisi na la kusikitisha sana. Japo wote linatugusa kwa namna moja au nyingine ni tuko katika makundi tofauti. Nashauri kwamba kwa sababu hii si habari ya kufikirika, ni vema tuandike taarifa halisi ili wale tunaofuatilia tupate hizo taarifa badala ya kulibadili kama...
  7. A

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    Je, nchi yetu bado ni nchi ya amani? Sio watu wameamua kuwa watulivu na ideology ya CCM kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani ndo inatawala? Nini hatma ya Tanzania endapo wananchi watachoka manyanyaso? ================ Tanzania no longer heaven of peace? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam ThisDay...
  8. A

    TZ Embassy in DC Web

    Duh Kuhani, Nimependa sana hiyo analysis yako. Hopefully watasoma hawa jamaa.
  9. A

    JK Akwama Kwenye Daraja la Mkapa

    ThisDay, May 7th, 2008 ANALYSIS: JK stuck at Mkapa’s bridge? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam TANZANIANS have stumbled upon stunning revelations on a sealed chapter of history that was never meant for everyone to read. These accidental revelations have introduced, in true colours, one of...
  10. A

    Form VI 08 Exam Results

    Kila information ninazojaza inasema "Sorry..."
  11. A

    Class Re-union Moshi Technical (1987)

    Class Re-union inaandaliwa na '87 class with the rest as invitees.
  12. A

    Class Re-union Moshi Technical (1987)

    CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987) Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na pendekezo hilo pia. Naomba hata wale waliokua vidato vya chini (kidato cha 1 mpaka cha 3) watume majina...
  13. A

    Silence Is Not Always Golden, Mr. President

    The Citizen Article of March 26th 08. Silence is not always golden, Mr President! Someone once said that �Talking is Silver and Silence is Gold�. It�s also known that there�s an exception to every rule. Agreeing with both schools of thought, I intend to...
  14. A

    Listen KLHN "Live"... testing

    Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu nyingi sana kwa Mwanakijiji. Hii ni hatua nzuri na tuko pamoja nawe kwa hali na....sorry! Pili napendekeza kusiwe na akina Lowassa na akina Karamagi huko. Tumechoka kuwasikia. Tunahitaji kumsikia mtu mmoja tu kwenye redio hiyo: Daudi Balali. Huyu anaweza kuwa...
  15. A

    Mwema, A Barking Dog?

    Mtaalamu Festog, Kupima sifa za uongozi za Mwema kwa kumlinganisha na "IGP aliyepita" ni sawa na kupima utakatifu wa mtu kwa kumlinganisha na Ibilisi. Haileti jibu sahihi. Nadhani Mwema hatufai katika nafasi hiyo. Ningeshauri JK ampe ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili awe anaongea bila...
  16. A

    Mwema, A Barking Dog?

    Mwema alitishia sana kwamba ana orodha ya "wazungu wa unga", na kudai kwamba karibu ataitoa hadharani bila kujali vyeo vyao. Nikajiuliza kwani mkuu wa polisi akiwa na orodha ya wahalifu anatoa vitisho kwanza au anawashughulikia tu?!! Iko wapi? Leo Mwema yule yule anatishia kuwashughulikia...
  17. A

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Liumba alikuwa DPA - Director of Personnel and Administration. Huyu jamaa hakuwa na influence sana kwenye maswala ya fedha na banking. Yeye alikuwa ni mtu wa sera na maaumuzi hasa kwenye maswala ya safari, mafunzo, warsha, mikutano, n.k. Na inasemekana alikuwa karibu sana na Gov.
  18. A

    Tanzania ya Uwazi na Ukweli!!!

    Tanzania ya Uwazi na Ukweli!!! Napata shida sana kuelewa kwa nini watanzania tunahangaika sana, kuzua na kubuni mambo ambayo ni haki ya kila mwananchi. Sijajua kwa nini taarifa za mafisadi zinatolewa kama zawadi za peremende kwa watoto ili kuwahimiza kufanya jambo fulani. Sijajua kwa nini...
  19. A

    Dira ya Elimu Tanzania

    Hello Mr. Moshi, With all due respect I beg to differ with you on your last opinion of leaving alone the private schools: 1. Because I agreed with the initial analysis that in Tanzanian education system everything goes and that poses a great threat to our nation. 2. In a country where the...
  20. A

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Nadhani Kilatu alistaafu kazi miaka ya 1990. Aliendelea kwa mkataba kama Mkurugenzi wa NPS (National Payment Systems) wakati wa Balali. Isangya alikuwa Mkurugenzi wa fedha wakati wa Balali baada ya Mama mmoja aliyekuwa na nafasi hiyo kutolewa kwa sababu asingekuwa yes, yes. Kimela alikuwa...
Back
Top Bottom