Search results

  1. Bandabichi

    Naomba faida ya kitunguu swaumu kibichi na asali mbichi

    Kiongozi stany mzalendo tafadhali tuwekee hiyo link hapa, kuna siku niliiona sasa natafuta kwa sasa siioni. Ilikuwa inahusu kitunguu swaumu kutibu Fangasi.
  2. Bandabichi

    Hi maneno hiiiiiiiiii

    mdida hebu msome HorsePower hapo comment namba saba, Wengine wanapigwa harzad hawaelewi kabisa
  3. Bandabichi

    Hi maneno hiiiiiiiiii

    lilly petet soma kwa umakini, ikiwezekana rudia hata zaidi ya mara mbili.
  4. Bandabichi

    simu zimeanza kupigwa landmark for interview

    appoh mbona unanitisha mzazi, kwani interview mshapiga ama? Naona kama unaogopa, mara kuna rushwa kule, we kapige interview bhana.
  5. Bandabichi

    simu zimeanza kupigwa landmark for interview

    apple sorry appoh. mbona hivyo kiongozi maujanja yote yale nilokupa umembwela mzazi
  6. Bandabichi

    Hi maneno hiiiiiiiiii

    Habari wana jamvi, Hongereni kwa shughughuli za kujenga taifa. Mapenzi upofu, Kwa wale madereva ukiwa barabarani na kama kuna hatari mbele lazima dereva aliye mbele atakupa ishara kwa kukuwashia taa akimanisha kuwa uendako kuna hatari, Ama ukiwa kwenye makutano ya barabara kuna taa za...
  7. Bandabichi

    Muhimu kusoma hapa plseeee!

    gfsonwin amu mbona post #*8 imekataa kufunguka eti sina authority. Nataka kujua kilichoo
  8. Bandabichi

    Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

    Aunt Natalia mi mbona naona ya kidhungu mwedhio, Au lugha gongana.
  9. Bandabichi

    Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

    Mnyanzagara, MugogoKinyao,
  10. Bandabichi

    Kubebana kunavyoathiri dhana na dhima ya taasisi zetu

    Dogoalice achq hii maneno, Kwani hapo ofisini kwenu hamna platform ya kuiongelea hii maneno. Kwa sababu haujataja hata taasisi au mtu unayemlenga kwa hiyo ni kazi huyo mtu kujilekebisha, au kuwa mtazamaji kwanza kabla ya kuleta thread ili ujifunze namna gani watu wanaandaa mada humu kwenye...
  11. Bandabichi

    Hii haikubaliki

    Hili swala la adhabu watu wa haki za binadamu wameingilia na kulipigia kelele sana, Imefika mahali hawataki watoto waende shule na fagio na makopo ya kumwagia maji maua. Swali la kujiuliza, Je nani atafanya usafi mazingira ya shule? Mtoto atajuaje umuhimu wa kufanya usafi wa kwake binafsi na...
  12. Bandabichi

    haya ndio maisha yetu halisi

    Huyu jamaaa ni CHIBOKO aiseee. Kwani hafanani hata kucha tuu?
  13. Bandabichi

    Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

    Kuwa na tabia ya kusoma thread kwa umakini.
  14. Bandabichi

    Kauli hii ya Mch. Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) sio ishara ya kujisahau?

    Mbowe alipata kumshitaki RPC wa Morogoro kwa waziri mkuu, akisema kipindi cha chama kimoja mwenyekiti wa chama mkoa alikuwa ndio mkuu wa mkoa. kipindi kile RPC likuwa yule mwanamke aliyepelekwa makao makuu ya poliso Dar. Kwa kuruhusu Mwenyekiti kukaa kituoni, kampiga kibao askari wa barabarani...
  15. Bandabichi

    interview landmark wiki hii sijui lolote msaada plz.

    hapo sas unanionea kwani wewe chuo umesoma kwa lugha ipi? Landmark ina hadhi gani? KIjiji, Mtaa, Mkoa, Hadhi kitaifa au kimataifa? Ukijua haya ndo utajua ujiandae kwa lugha ipi? Jiulize Landmark wanafika wageni waaina gani local au foreign mkuu? Na kujiamini na kile unachoongea na uwezo wa...
  16. Bandabichi

    interview landmark wiki hii sijui lolote msaada plz.

    Hayo ndo maswali yenyewe aliyoweka hapo, Ulikokuwa majukumu yako yalikuwa ni yapi? Ni kwa mda una uzoefu? Historia yako kwa ufupi, kuanzia elimu yako ya msingi na elimu ya juu uliyonayo, umezaliwa lini? trh mwz na mwaka. Historia yako katika kazi. kwa nini unataka kufanya kazin na landmark, kwa...
  17. Bandabichi

    Am very beautiful but cant keep a man for long

    itahwa Tabia, maneno na lugha unayoongea ukiwa na wapenzi wako inaweza kuwa tatizo. Wanaume mara ningi hawapendi wanawake wakali, wenye majivuno. Na inaonyesha umeshindwa kuficha asili yako na pia huenda ukawa na high expectation katika maisha yako ambapo wewe mwenye hata uishi karne hauwezi...
  18. Bandabichi

    msaada jaman

    Hili si jukwaa la MMU wewe kuwa makini.
  19. Bandabichi

    Upi kati ya LAPF na PSPF

    Najua LAPF wamejipanga mwaka huu,wamepeleka vijana nchi nzima kwa ajili ya kutoa maelekezo kwa walimu wa ajira mpya ili wajiunge na mfuko. Ni bora upitie mitandao na vipeperushi vyao hao wote. Ila wote niwezi tuu kwa wafanyakazi.
Back
Top Bottom