Search results

  1. P

    Laptop hp inauzwa

    Laptop mpya aina ya HP inauzwa shillingi 700,000/= (LAKI SABA). Ina RAM 4GB, na Hard disk 300. Kwa maelezo zaidi plz inbox me. Tutawasiliana.
  2. P

    Utando mdomoni kwa mtoto

    By polisi: Nakusapoti Mkuu. JF DOCTOR ndo kila kitu. Pia professional Doctors wapo wengi sana kwenye JF na wanatoa ushauri mzuri sana.
  3. P

    Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Atumie vyakula vya wanga vyenye virutubisho vyote (Mfano: Brown bread -for breakfast, Brown rice, na ugali wa dona). Pia, kitafunio cha Ufuta ni kizuri sana. Vyakula hivyo husaidia kurudisha kumbukumbu. Muanzishie hivyo vyakula, halafu unipe feedback MRINGA.
  4. P

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Jamani nilikuwepo. Naona Mkuu ameamua kutuvunja mbavu.
  5. P

    Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

    Mkuu, kufanya tendo la ndoa na mwanamke mjamzito ni jambo la kawaida. Mnaweza mkafanya kwa miezi yote 9, lakini zile wiki za mwisho za uchungu mkaacha kufanya. Lakini kama mwanamke ana tatizo la miscarriage, ni vyema msifanye kabisa hicho kitendo na mvumiliane mpaka siku atakapojifungua. Pia...
  6. P

    Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

    kuhusu hili suala la kwikwi, nakushauri uende hospitali upewe dawa. Ikumbukwe kwamba zipo kwikwi za presha. Kwikwi hizi huchukua siku nzima bila kuisha, hivyo ni vema uende hospitali ukapime presha na wakupe dawa ya kukata hiyo kwikwi. Hili tatizo lilimpata mzazi wangu, alikuwa ana presha na...
  7. P

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Ajitahidi asifanye kazi nzito, na apate bed rest. Pia hata suala la sex lisiwepo. Yani akishapata mimba yake ya kwanza, atulie kabisa na ajitahidi kupumzika. Lakini aende hospitali akapate ushauri zaidi kutoka kwa madaktari bingwa wa masuala hayo.
  8. P

    Dawa za minyoo kwa mama mjamzito

    Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? madaktari naombeni ushauri wenu.
  9. P

    CCM kama UKIMWI, hakuna kinga wala tiba

    Wamejiharibia cv zao wenyewe. "kauli" ni kipimo tosha cha personality ya mtu.
  10. P

    Fashion coner!!!!!!!!! Idea mpya ya keki za kitchen party

    Mh, bado sijapata connection yeyote.
  11. P

    Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

    Aisee Magwepande umenifungua macho. Kweli Tanzania tumekwisha. Yani tumekwisha kabisaaa.. Huyo Mary Amri na wenzake wenye tabia kama yake wachukuliwe hatua kali sana. Tuna kushukuru Mkuu kwa kutufungua masikio.
  12. P

    Wanawake Hawajiamin kwa nin?

    kwakweli kumleta msichana mrembo zaidi yako ndani ya nyumba eti awe ndo housegirl. Ipo siku itakula kwako na utakuja kujuta. Ni her umchague msichana wa kawaida tu but si mrembo sana.
  13. P

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Huyu mama ameniuzi sana kwa kuchafua bunge. Hafai na wala hana hata hadhi ya kuitwa mbunge. Ni heri ajivue ubunge achaguliwe mwingine. Eti "CHADEMA ndo walihusika na kipigo cha Dr. Ulimboka." Je, ana uhakika gani na anayoongea?
  14. P

    Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    Mh, but nahisi ni rumor coz hao madaktari wa-iran wakija kufanya kazi huku bila malipo wala posho yeyote, ipo siku watalipiza kisasi. Ni bora tu wasije.
  15. P

    Wanaume wengine bwana

    BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....
  16. P

    Wanaume wengine bwana

    KAKAKIIZA Yani hiyo ni NEVER coz penzi huwa halilazimishwi. Pia kama haukuwa mpango wa Mungu wa mimi na yeye kuendelea kuwa pamoja, asidhani kwamba akitumia mbinu hiyo ndipo penzi litarudi. Akae tu akijua kwamba penzi langu kwake liliisha siku nyingi sana. Hivyo anajisumbua tu.
  17. P

    Wanaume wengine bwana

    POINTERS Ahsante kwa ushauri, but kwa upande wangu kumweleza Mpenzi wangu naona ni busara zaidi kuliko kukaa kimya.
  18. P

    Wanaume wengine bwana

    GFSONWIN Yah offcourse hili swala nilishamweleza Mpenzi wangu. Pia namshukuru Mungu kwa kuwa yeye ni muelewa na ana busara.
  19. P

    Wanaume wengine bwana

    SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
  20. P

    Wanaume wengine bwana

    MTOTOWAMJINI Nilikuwa na hilo wazo la kubadilisha namba za simu, lakini nimeona hakuna haja kutokana na kwamba kwa sasa namba zangu zinatumika kazini, hivyo nitawachanganya na watu wa muhimu ambao wana namba zangu tayari. Nashukuru kwa ushauri mzuri.
Back
Top Bottom