Search results

  1. K

    Uongozi feki wa udom na ubanifu ktk kutoa vyeti kwa wahitimu.

    dawa ni maandamano tuuuuuuuuuuuuuuu. serikali yetu ni sikivu sana inapoambiwa kwa lugha ya maandamano. kwani kabeho ameenda wapi? haitakaa itokee uletewe haki yako kwenye sahani. kueni radical au hamkufundishwa hiyo?
  2. K

    Kambi ya upinzani mmetusaliti

    Bajeti iliyopita Mh. Zitto kwa kauli yako ulitushawishi wananchi wa vijijini tusiandamane kupinga bei ya mafuta ya taa kwa madai kwamba fedha itakayopatikana itapeleka umeme vijijini, mbona hatujaona hata dalili wala sijakusikia ukizungumzia hilo? Mafuta ya taa yalipandishwa bei yawe sawa na...
  3. K

    Re: Ardhi ya kijiji imeporwa.

    Mwenyekiti wa kijiji amemega ardhi ya shamba la kijiji na eneo la ofisi akauza kwa tajiri mmoja halafu kila anayejaribu kuhoji anaundiwa kesi ya uongo na yule tajiri halafu anawekwa ndani kwa kuhonga hadi kila mtu ameogopa na ukizingatia maisha ya kijijini ukiwekwa ndani familia yako inateseka...
  4. K

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Mh Rais, Mama Theresa, Nelson Mandela, Martin Luther Jr na Malcom X hawakuwa Wabunge kupigania haki za Nchi yao na watu wao. Sihitaji Ubunge kupigania ukweli, haki na utu, nahitaji dhamira safi, nia njema na huu utakuwa wajibu wangu mpaka nakwenda kaburini, nitakapomaliza mbio hizi najua...
  5. K

    Hellooooooooooo great thinkers.

    Wadau, jf inanipa raha sana na sijui nianzie wapi. Nafurahi kuwa mwanachama, naomba ushirikiano wenu ili niweze kuifaidi vizuri kama nyie wanaharakati wenzangu. Avetar na majina yaliopo humu ndani pamoja na quotation zinashangaza sana. Ningependa pia kuweka zakwangu lakini siwezi. Busara...
Back
Top Bottom