Matukio kama haya ni kawaida huwezi kuzuia ila tahadhari inahitajika kwani polisi ni sababu kuu ya kuzuia mission ya majambazi na huwezi jua leo jambazi anawaza nini hivyo polisi is always a first target ambayo all the time ni visible, kwa hiyo mnatakiwa kuelewa hilo kuwa jambazi wakati mwingine...
Lowasa ni jembe , embu ukipata muda sikiliza ile clip ya kujiuzuru kwake alafu uniambie ni watu wangapi wenye ujasiri wa kusema maneno kama yale kwa wakati ule.This man is strong aisee.
makonda anakuja vizuri nimemuona kwenye blog fulan siikumbuki jamaa akiwa anaosha gari yaani kauvaa uhusika kabisa poa sana ukijichanganya na wananchi kiasi hiki inakupa credit sana mkuu bila kujali nafasi yako ya uheshimiwa big up makonda you coming good.
ya alternator ya gari gx 110 inanyonya betri fundi ameniambia imekufa kwa hiyo haifui umeme so nataka ya kubadilisha. Gari ikiwaka baada ya kubustiwa inazima ukitoa betri ya msaada.so kwa ushauri ni bora ninunue hivi vitu au ni badilishe altornator yote?
mh mshana na wazoefu wengine nataka kubadilidha engine oil na oil ya gear box , pamoja na filter lakini nataka niweke ile ya bei chip ambayo nitaitumia ndani ya miezi mitatu ila baada ya hapo nataka niweke oil ya Bp je kuns athari zozote kwenye gari.¿?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.