Search results

  1. L

    Akina Masogange wanyongwe hadharani.

    Hili wazo zuri tukiwanyonga wabebaji walioshikwa itakuwa fundisho kwawengine maana watakosekana wafafirishaji biashara haitafanyika.
  2. L

    Mkenya Apoteza Kazi Marekani kwa Lafudhi yake...Jipigeni Polish!

    Wa Tz hatuna shida tunajua kuiga sana tabia na sauti za mahuli ilimrad tuu aishi hapo wiki angalau moja inatosha kuiga kilakitu chezea mbongo weweeee
  3. L

    MWANAMKE ANAYESHIKILIA REKODI YA KUWA NA MATITI MAKUBWA ULIMWENGUNI....huyu hapa

    Mama mshukuru mungu kwa kila jambo kwanza unajulikana wew ndo wakwanza dunian pia uwezo wakuwa na maisha marefu unao pia watoa wako watakuwa naakili maana watapata maziwa yakutosha.
  4. L

    Majina na ushahidi wa madawa ya kulevya kwa polisi

    Chakufanya viongoz tuliona mashaka nao kuhusu drug ni kuwachinjia baharini kipind cha uchaguz haiwezekani tuwapigie kura halafu ndiyo wanaotuangamiza sisi vijana. Athari za madawa ni kubwa sana kwa sisi vijana wao sio watumiaji ni wauzajituu vijana tuamke.
  5. L

    Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

    Huyo kiongozi wa cuf kastuka mapema kafanya vyema
  6. L

    Kaburu Matatani kwa Kupanga Kumuua Mandela

    Adhabu yeke kweli ni kinyogwa hatutaki ubaguzi wa rangi
  7. L

    Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao

    Hee! Nape hana hii habari maana kawa kimya au nae anayua CHADEMA wapo juu lakini anapiga moyo konde.
  8. L

    Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao

    Mweshimiwa membe wewe unaona mbali mungu akubariki
  9. L

    TAARIFA: Maandalizi ya Heshima za mwisho na Mazishi ya Mh Bob N. Makani

    Nawapa pole wadau wote wa CDM alianzisha chama makini ametuachia uridhi tosha kwa taifa hatuku sahau lamba chadema ife
Back
Top Bottom