Search results

  1. T

    Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

    Pascal, Hii ni notification kwa public kuwa Job ****** amejiuzulu. Barua ya kwenda kwa katibu wa bunge na copy kwa CCM au vice-versa haipo hapo. So you cannot judge ukweli wataujua KM wa Bunge na KM wa Chama. Inawezekana amequote kimakosa issue ya barua kwenda wapi na copy kwenda wapi. But...
  2. T

    Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Mkuu, Haya mambo yako siku zote. Kusema yamerudi ni uongo mtupu. Kwani yaliondoka lini? Kuchagua receipt au kupewa ya kiwango cha chini baada ya kununua kitu ni vitu vipo miaka nenda rudi. Ukisema yalitoweka ni uongo. Cashless economy ndio solution ya hii kitu. Watu wengi wakitumia mifumo ya...
  3. T

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Mkuu South Korea wametupa mkopo wa kujenga approach roads na Tanzanite Bridge. Sio msaada au grant. Msaada au grant ilitolewa na Japan kwa Tanzania kujenga TAZARA flyover na juzi Morrocco - Mwenge Road section.
  4. T

    Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

    Hello. Si mkopo ni grant unapewa pesa unasema wapi wajenge. Wao hutaka uondoe incumberances zote mabomba au nyumba au tanesco cables. Tukishabikia hata grants tunadhalilisha chama na mwenyekiti wa chama. Tuna miradi mingi ya kunadi sio hii michache ya misaada. Tena huu mchakato wake ulianza...
  5. T

    Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

    John. Ni msaada kutoka wananchi wa Japan. Sio fair kushukuru chama na kutoshukuru Japan government. Wametoa fedha 100%. Kama hujui, Flyover ya Tazara au Mfugale flyover Japan wametupa zawadi wakitoa fedha 100%. Si sawa wala sio fair kushukuru chama.
  6. T

    #COVID-19: Tuwajibishane

    Hata Rwanda haina vifo
  7. T

    BAA KWENYE MAKAZI YA WATU: Serikali ilichukulie kwa uzito

    Well ndugu, kweli bar zimekuwa kero kiasi Fulani. Sheria ya mazingira hairuhusu noise pollution inayozidi decibels flani (kiwango cha sauti). Bars hazitakiwi kubughudhi watu kwa masauti ya miziki. Bars au pubs lazima zifuate sharia. Zinaweza kuweka sound proof na watu wakae ndani, wanywe na...
  8. T

    Dr. Mpango fungua ukurasa mpya wa hii kodi ya Road License

    True. Wanapoteza sana sio kwa vehicles ambazo haziko serviceable bali hata zile ambazo a person in one way or the other hana pesa kwa wakati Fulani. I think wangeweka limit (ukomo) wa hizi penalties. Kwa mfano mwisho wa penalties ni mwaka mmoja. Kama penalty ni 50,000 then total penalty ni sh...
  9. T

    MV Dar es Salaam kufa kabla ya kuanza kazi?

    This is very true. Huhitaji data kwenye issue ya masaa ya safari. Ni zaidi ya matatu wakati bus inatumia saa moja unusu. Technically hata ungekuwa wewe ungepanda bus uwahi Dar.Ndio maana hatupandi. Concept ya huu mradi ilikuwa kupunguza foleni kwakutumia njia ya bahari kwa kutumia fast boat...
  10. T

    Aibu ya samaki wa Magufuli iwe funzo gani kwetu

    No way! He was right kivipi? Jamani tumieni bongo, huyu Magufuli kaleta hasara mno! Ok kesi aside, je kama kulikuwa na kesi au pingamizi, iweje serikali iachie meli iliyokamatwa iwe vandalised? Je iweje wagawe samaki bure wakati kesi iko mahakamani, ili kuokoa gharama za kuwatunza wangeuza...
  11. T

    CHADEMA wanaua vipaji vya siasa kwa Vijana, Yu-wapi James Ole Milya na Bananga

    Juliana hello, My dear, wewe umekuja CCM juzi juzi, tulifurahi kupata vijana kutoka CDM pamoja na Mtela. Kila siku zinavyoenda na ninavyoendelea kuangalia post zenu naanza kuona kama hatukupata kitu. Nyie vijana kwanini kila wakati mnaongelea CDM tu?? Hivi hakuna mambo mengine ya kuongelea...
  12. T

    Kagame anukisha bondeni, maafisa watatu ubalozini watimuliwa

    Pomboo, hello. President Kagame anastahili kuitwa the most dynamic president kutokana na aliyoyafanya kuitoa Rwanda ilipokuwa baada ya genocide to the economic success it is enjoying kwa sasa in a space of 15 years. Rwanda ilikuwa imekwisha kabisa, vita iliharibu kila kitu! Huyu jamaa PK ni...
  13. T

    Upotoshwaji unaofanywa na chadema juu ya chama cha act tanzania

    I think kutokana na bandiko lako mtu akiangalia kwa umakini ataona kama ni kweli ACT ni wadini. Kama mnataka kuwa tofauti na muwe mna mwelekeo msiendekeze kabisa suala la kuongelea udini. Wekeni kipengele cha kuto-discuss udini kabisa kwenye shughuli za chama chenu. Ukabila na ukanda vilevile...
  14. T

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Dear Kaumza, Well ntatofautiana na wewe kuhusu Nyerere rafiki yangu. Kweli Julius si mtume wala mungu. Ila kwenye kitu kinaitwa UADILIFU yuko juu sana! Ni mtu ambaye alimpenda kila mtu bila kujali dini rangi kabila wala KIPATO. Na hakupenda kabisa PESA ziwe ndio kichocheo cha decision making...
  15. T

    M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

    Anderson, Kweli Bwana Mbowe gari lake liligonga motorcyle maeneo hayo akienda Bukoba. Kila mtu akisafiri kwa gari yawezekana akapata ajali ya aina yoyote akiwa safarini. Kisheria, ajali ikitokea anayetakiwa police ni Driver wa gari iliyopata ajali. Kama kuna damages zozote kwa gari au mtu...
  16. T

    Tuangalie Mawaziri wa Fedha wa Kenya,Uganda na Rwanda

    Kwa kweli ukiangalia CVs, Claver Gatete yuko juu sana akifuatiwa na wa Kenya. Si ajabu kwa uchumi wa Rwanda unakuwa kwa 7-8% kwa muda mrefu ingawa ni kanchi kadogo, kenye watu wengi sana (highest population density) na kilicho na resources chache sana. Kwa Tanzania wateule wetu kusema ukweli...
  17. T

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Baba Tunde... LIKE LIKE ....LIKE! Mzee EL amefanya maamuzi mengi ya ajabu tu na watu wanamsifia! 1. Aliamuru kuvunjwa jengo kule masaki floor za juu na mhindi akalipwa fidia. Mbwembwe zote zikaishia hasara kwa serikali 2. Kama ulivyosema hapo juu, aliamuru barabara ya Mwenge - Morocco...
  18. T

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Bwana kakende, nashukuru kwa kuibua huu mjadala. Kwanza nakubaliana na wewe kuwa kada mwenzetu Edward Lowassa anataka kuwa rais wa term ya tano. That is an obvious fact. It is also a fact kuwa kikatiba ana uhuru wa kugombea, na katika CCM yetu hakuna tatizo kwa yeye kugombea. Sidhani kama...
  19. T

    David Kafulila; Huu ni mtazamo wake kuhusu sakata la kumvua unaibu katibu CHADEMA Zitto

    David, sikubaliani na wewe hata kidogo. Although in the general sense, una pointi. Nadhani ZZK ni rafiki yako sana wa hali na mali. Kumtetea ni jambo tunalilitegemea kutoka kwako. Issue ya kijana Zitto iko kwenye matatizo yake kama kiongozi wa chadema. Vikundi vya siri si afya kwenye...
Back
Top Bottom