Search results

  1. L

    Natafuta decorder ya AzamTv used

    Asanteni wadau. Nimeshapata decoda ya Azam. Thanx Jf.
  2. L

    Natafuta decorder ya AzamTv used

    We unauzaje ... weka namba nikucheck
  3. L

    Natafuta decorder ya AzamTv used

    Asante kwa ushauri... Ila isitafsiriwe kupenda kitonga ila ni mfuko ndo upo jangwani.
  4. L

    Natafuta decorder ya AzamTv used

    Yes...natafuta decorder ya AzamTv used kwa bei nafuu. Hii ni kwa Dar na maeneo ya Karibu. Kama unayo nicheck kwenye 0715719171. Kiwe katika hali nzuri na bei nafuu.
  5. L

    Mgawanyo wa Majimbo UKAWA Kanda ya Pwani: Hadi sasa, majimbo 9 CUF na CHADEMA wamerejesha fomu

    WALIO REJESHA FOMU KANDA YA PWANI - UBUNGE 1. Ubungo - CDM, CUF 2. Kibamba - CDM 3. Kawe - CDM, CUF 4. Kinondoni - CUF 5. Ilala - CDM, CUF 6. Segerea - CDM, CUF 7. Ukonga - CDM, CUF 8. Temeke - CDM, CUF 9. Mbagala - CUF 10. Kigamboni - CDM, CUF 11. Kibaha (V) - CDM, CUF 12. Kibaha...
  6. L

    Mgawanyo wa Majimbo: CUF ni bora kujiondoa UKAWA kuliko kuhujumiwa CHADEMA

    Mkanganyiko ni mkubwa sana. kuna majimbo wamepewa CDM kisha CUF nao wameweka pia walipotakiwa CUF nao CDM wameweka. Kumbuka nchi nzima CHADEMA wamepata 143 bara na 1 zanzibar. CUF wamepata 53 bara na 50 jumla CUF majimbo 103. REJESHAJI WA FOMU KANDA YA PWANI - UBUNGE 1. Ubungo - CDM...
  7. L

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Busega wapewa CUF na mgombea wa CHADEMA Dr David Nicas amepewa kadi ya CUF agombee kama babu duni.
  8. L

    Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    hayupo tayari kukanusha. Hayuko busy kihivyo... Mamaa Mushumbusi anautaka u first lady.
  9. L

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mabere Marando anagombea jimbo gani huko Mara!
  10. L

    Kwa kukaribishwa Lowassa UKAWA, nani ni mpinzani wa kweli? Zitto au UKAWA?

    Dawa ya mwizi ni kumkata jina kinyemela badala ya kunyima fomu ya kuuwania uongozi.? Kama umegundua upo kwenye bwawa la maji taka toka humo kwanza ndo utafuta maji masafi. Hongera Lowassa..
  11. L

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hatutaki... Dr Slaa agombee jimbo lolote Dar amwachie huyo jamaa katisha vibaya kura ya maoni
  12. L

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Kule Zanzibar kwa SALUM MWALIMU hakuna kura ya maoni. Bado Morogoro na Kigoma nasubiri
  13. L

    IGUNGA - Bila Mwl. Kashindye CHADEMA inajichimbia KABURI

    Matokeo Jimbo la Igunga 1.Samson Kube159 2.Joseph Kashindye 100 3.Ngasa 15
  14. L

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    KIBAHA MJINI 1. Dr Michael Mtally 62 2. Injinia Henry Msukwa 38 3. Isihaka S. Mnembwe 31 4. Injinia Joaquim 13 5. Diwani Bosco M. Kidobele 04. 6. Mwl Frank Mzoo 03.
  15. L

    Huawei y530 used 4weeks 135,000

    Nina 110,000/=. Upo mkoa gani? Namba yako
  16. L

    BVR Zanzibar: Vipeperushi vilivyoandikwa "Asiyekuwa mzanzibar na asije" vyasambazwa

    Kuna watu wa bara wanaenda kujiandikisha znz ili wakapigie kura mgombea anayetakiwa na bara. Acha wazuie wabara wasijiandikishe znz
  17. L

    Natafuta kazi, nina shahada ya biashara

    Kuwa mvumilivu na ongeza jitihada. Mdogo wangu kamaliza 2011 mpaka leo hajapata kazi.. Jilipue weka vyeti kando kubali kuanzia chini.
  18. L

    Vifaa vya Dell laptop vinauzwa

    Kumbe kuuza kifaa kimoja kimoja ina faida sana... Mouse pad na keyboard hiyo bei umetisha mdau
  19. L

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Umejipa kazi kubwa sana
Back
Top Bottom