Search results

  1. B

    Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) 21(1,2) na Kamanda Kamuhanda

    nadhani ipo sheria hiyo. kumbuka watu waliomshitaki godbless lema (japo kesi ya lema haikuwa ya mauwaji) kesi ya uchaguzi. walikuwa watu kama mimi na wewe tu. isipokuwa unatakiwa ufungue kesi ya namna hiyo kama una uhakika ina interests za madikteta wetu, or utayeyuka.
  2. B

    Rufaa Igunga: Kafumu atofautiana na CCM

    akili za mwigulu na nape
  3. B

    Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

    duh, hii habari kumbe bado inabamba?
  4. B

    Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

    pumba na mchele zikichanganywa pamoja. badilika kwanza wewe na mafumbo yako. watanzania tushachoka na mafumbo na misemo(ya jk).
  5. B

    Malumbano ya hoja leo ITV: Nafasi ya Vijana katika siasa za Tanzania

    Rweiyunga asiongoze show, kwa sababu anatabia za kimagambamagamba.
  6. B

    Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

    acha wafu wazike wafu wao
  7. B

    CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

    mbona ina kinzana na kauli za nape: "mabilioni"
  8. B

    Waziri Masele Awanasa Wakwepa Kodi za Madini

    hasira za kunyimwa 10%
  9. B

    Umoja wa wanawake CCM wamuunga mkono Tendwa kufuta vyama vya siasa

    akamhamasishe mama yake. huyu mama naona hana akili.
  10. B

    Revealed: Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

    Hata mie nilitilia mashaka. Mtu mzima na PhD yake aende sehemu bila kualikwa, how come? Afu em jaribu kusoma(japo vichwa vya habari) makala za nevin meena kwenye mwananch jumapili, utajuwa tu kuwa ni gamba anayefunga na kuomba apewe ukuu wa wilaya.
  11. B

    Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

    tumefika pabaya.
  12. B

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    mtu anaitwa Pacific. haya mazingaombwe+
  13. B

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    wana habar ni watu mhim sana, ila wanapewagwa ukuu wa wilaya. kwenye kundi lao wanafiki ni wengi kuliko wakweli na wazalendo.
  14. B

    Nape na Mwigulu Nchemba wako kijiji cha Nkinga-Igunga leo

    huko walikula nyama ya mtu. walinyea kambi. kama kuna mtu yupo karibu nao awaambie wanapoteza muda.
Back
Top Bottom