Search results

  1. Asterisk

    Magari moja kwa moja toka Japan

    Spacio new model ya 2002, bei gani.. na imetembea km ngap!?
  2. Asterisk

    LAPTOP DELL MPYaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!1

    Laki 350000 duh,, ni sawa na 350,000,000,000
  3. Asterisk

    Bamaga Traffic lights

    Nikweli aisee.. Kuna logic error katika zile taa za bamaga,, mim mwenyewe nimeshaexperience mara kibao..
  4. Asterisk

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Kwanin usichangie thread walizoanzisha wenzako?? Unakuja kuanzisha thread zaidi ya masaa mawil baada ya mwenzako kuanzisha, waheshimu wenzako.. RIP S.M.
  5. Asterisk

    kazi kweli kweli

    Kucheza gololi
  6. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    Angalia PM mkuu,,
  7. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    sayansi napataka but kodi ndefu sana hiyo
  8. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    Duh hapo parefu sana
  9. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo 1. Sinza 2. Kinondoni 3. Sayansi 4. Makumbusho 5. Mikocheni Iwe ina sitting room, bed room, jiko, choo, na ka store kadogo. Bajeti yangu ni kati ya 200K na 250K Nipo serious ni PM au piga 0757579684
  10. Asterisk

    salamu kwa mwalimu

    Tena wameiuza nchi na zaidi mpaka mifupa yako wanaiuza (kutembelea kaburi lako lazima utoe hela)
  11. Asterisk

    natafuta kazi waungwana

    Omba interns
  12. Asterisk

    Nahitaji mtu wa kupamba

    Husika na title, natafuta mtu wa kupamba, nitakua na event alhamic na ijumaa, ni PM kama unajihusisha na hizo shughuli.
  13. Asterisk

    Nauza kiwanja kwa bei poa

    Kimepimwa boss?
  14. Asterisk

    Hili linawezekana Tanzania tu!.....

    Hhaa, hhhaa tanzania tuu utayakuta hayo
  15. Asterisk

    Hivi ushawahi mchukia mtu?

    njoo tuu madam, ila sijui utatumia vigezo gani kuangalia.!!
  16. Asterisk

    Hivi ushawahi mchukia mtu?

    Aisee kumbe ni gharama hivyo, kuna uwezekano na sisi mabikra wa kiume kuuza bikra zetu..
  17. Asterisk

    best wishes to all students who will sit for standard seven exams this week

    Yaani we acha tuu, tunapika bomu na siku moja litalipuka.
  18. Asterisk

    ur proffessional please!

    Mi ni katibu uenezi wa mtandao wa jamiiforum mkoa wa dar-es-salaam, wilaya ya temeke, kata ya yombo vituka, tarafa ya lumo, kijiji cha forkland, mtaa wa bondeni la mmasai.
  19. Asterisk

    best wishes to all students who will sit for standard seven exams this week

    Watapita wote si unajua lile tangazo la shule ya msingi janja janja,
  20. Asterisk

    Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

    Namwona mwongoza kipindi amemind sana, anasema nia si kulishutumu jeshi la police lakin indirectly naona wanalishutumu jeshi la police, Mungu awalaani hhao police walio muua, ni wazi kuwa ni wao police waliomuua.
Back
Top Bottom