Search results

  1. I

    Zitto na Nchemba now on tbc

    mjadala huo nafuatilia kaz ipo hapo nan ni nan hapo...
  2. I

    Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

    try to keep her bize mwana
  3. I

    Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?

    Pole kaka. Nakushaur epuka kukaa peke yako, soma neno la mungu, fanya kaz kwa bidii,.kumbuka cku zote mwanamke ni pambo la nyumba na kuwa na kiasi.
  4. I

    Nahisi naibiwa....................!

    msamehe bhana wote ni ndg kama jiran ipo siku hata kuhelp usiku kama unashida
  5. I

    naomba mawazo yenu jf.

    asante kwa wale wenye mawazo positive na hao wengine poa kwa majibu yenu
  6. I

    naomba mawazo yenu jf.

    ndugu zangu nataraji kupata jiko au mke wa kuoa sijui wenzangu ambao mpo katika ndoa naomba ushauri wa mambo gani nizingatie kwa huyo mke ili niweze mfaidi sio kujitui tena hyo ndoa.?
  7. I

    Naomba ushauri

    pole sana mwanajamii navyo hona hapo mfate baba mwenye nyumba mwambie issue nzima alafu msikilize na huyo mfanyakaz wako muondoee hapo kwako maana hutakiwi kulipa baya wewe fanya jema muombee mungu hakuna njia nyingine ndio ishakuwa hvyo tayarkwa upande wangu ndio hayo tu pole sana.
  8. I

    kwa nini chuki?

    wakulima itabidi tuache kumiliki hao wake sasa maana ni hatar sanaaa itakua
  9. I

    kwa nini chuki?

    sio mtu lakin kuna mshikaj baada ya mafanikio yake kila mtu kitaa anamdis sa cjui kwa nin.....inakuaje hii wanajamii
  10. I

    kwa nini chuki?

    samahani wanajamii eti kwa nini binadamu tunachukiana...?
  11. I

    Democratic

    Democratic Development..we have talk less and Do more..we have end wastages we see....
  12. I

    hellow

    am proud to be member of JF....
  13. I

    corruption

    poa nasubiria ilo jibu la hayo maneno
  14. I

    Ujumbe mfupi ..

    nawe pia wekend njema na tunakutakia maisha marefu na baraka
  15. I

    JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

    kweli kabisa vitamu vinaamzia na herufi 'K' mfano...kuku..kitumbua na vingine unavyo fikilia wew hapo
  16. I

    corruption

    kama wazungu hawana ufisadi neno corruption limetoka wap kwa waswahili?
  17. I

    sihitaji kuolewa je ni tatizo?

    ndio ni tatizo kubwa sanaaa
Back
Top Bottom