Search results

  1. D

    POPCORN(BISI) CHOCOLATE FLAVORED

    Habari zenu.Naomba kupata kuelimishwa juu ya utenganezaji Wa bisi za chocolate.am eager to learn.shukran sana
  2. D

    Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    hapo nahic kunaweza kuna sabab kama mbili...moja huo ubunifu uko mzur una mashiko na pili...nafasi hyo angechukua mwanamke isingevutia sana coz hayo matangazo yapo kama comedy
  3. D

    Kariakoo kumekucha Mabomu ya Machozi yarindima...

    hayo mabom umeyapiga ww? kwan nimeshinda mtaa wa kongo tokea asubuh cjackia k2 kama hicho.jesh haliitaji simple demonstration kama hzo to send a sms,ni neno moja tu nchi inakuwa chini yao
  4. D

    HUAWEI ascend Y300 unlock Application

    dc unlocker tafuta wataalam wakusaidie kuicrack
  5. D

    Nachukia miwani

    change of diet ni nzur kwa ajili ya eyesight bt if u get impatient.unaweza try LASIK surgery ipo kenya
  6. D

    Safari ya kuelekea Ikulu imeanza kwa kasi ya kuwapumbaza waendesha bodaboda?

    mm naona hyo idea ni nzur.ukiangalia ufaulu nchini umeshuka,w2 walio mtaani ni wengi sana so kugawa bodaboda itachangia ongezeko la ajira.kwa case ya ajal ni jukumu la kila m2.kutokuwa makini kwa madereva isiwe sababu ya kutofanya maendeleo.ckatai kwamba ajal nying sasa hv ni kwa sababu ya boda...
  7. D

    Picha ya leo

    nyc pic
  8. D

    Raha jipe mwenyewe

    duuh!nimenyoosha kwake,kip t up
  9. D

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    kuna mixture of antibiotics ambazo uki2mia mambo yanakuwa poa.cna info nyingi kuhusiana effectiveness ya netragen.xo no comment on t
  10. D

    Sponsorship for university students!!!

    kama dogo ni wa kike jaribu kuapply WAAW FOUNDATION SCHOLARSHIP ila deadline ni tar 30.mpe congra dogo lako
  11. D

    Ajira laki sita kwa vijana zina maanisha kujiajiri vijana kaeni tayari kwa fursa hii

    nafasi nzuri sana.kila anaemaliza chuo huwa na malengo makubwa ila mtaji unakuwa tatizo kubwa.sasa kwa plan kama hii inakuwa easy way 2 sucess.watz wanashida moja 2 ambayo ni kushirikiana.team work imekuwa tatizo kubwa,w2 wanataka kuchomoka peke yao hawajui makampuni meng yaliyoendelea...
  12. D

    Stop teen pregnancy....chini imeandikwaje??

    duuh nomaah!
  13. D

    Msaada jamani kila ninayelala nae harudi tena

    pole sana. do "kegel"exercise inasaidia sana kurudisha strength za muscle kwenye hyo k2.
  14. D

    Mtaalamu wa maswala ya usingizi

    jaribu kuweka mazingira ya kulala vzur ambayo ni 1.hakikisha sehemu ya kulala iwe sehemu ya kulala tu.usifanye kazi sehemu ya kulala. 2.hakikisha kwamba joto la bedroom liko chini au hakikisha mwili uko ktk joto la chini kwa kuoga ucku kabla ujalala 3.ondoa vitu vinavyokusumbua kulala vizuri...
  15. D

    serikali imedharau amri ya mahakama ya kutobomoa nyumba zaidi ya 1500 kisa mchina

    kama naibu hana taarifa,hzo project zmetajwa na nan? kuna m2 yuko behind t
  16. D

    Testing for validity and invalidity

    elaborate more.u kind left me
  17. D

    The King of Juices

    am gonna try one bt hw do u make t?
  18. D

    Huyu mpangaji mwenzangu yamemsibu yapi?

    slol!kupenda noma.......aaah!
Back
Top Bottom