Search results

  1. D

    AY kuvaa bendera ya KENYA kwenye video mpya imekaaje??

    Watz miyeyusho tu, wavivu sana. Acha atuwakilishe kenya Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. D

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Sober naona na wewe ni mmoja wa watu wanaokuwa wanapinga hoja za watu bila kutoa mapendekezo yoyote kitu ambacho hujitokeza kwa jamii isiyokuwa na elimu na uelewa wa kutosha. Mnyika ana haki kwa maoni yake binafsi nawe toa maoni yako. Kusema eti aachie wataalamu wakati hao wataalamu ndio...
  3. D

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto ni jembe kama hujamuonga, never to be trusted. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. D

    Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

    Never trusted Zitto at all, I love Chadema and Dr. Slaa is the man to trust. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. D

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Kumbuka kuwa hao vigogo walipeleka na majina ya watoto/ndugu/rafiki zao na pia kuna viwanja cilivyochukuliwa na mashika mbalimbali kwa mfano TBA(Tanzania building agency), benki iliyoikopesha manispaa, wizara mbalimbali, Ikulu n.k. Viwanja vilivyobaki kwa wananchi wa kawaida ni vichache sana...
  6. D

    NSSF yaelekea kufilisika

    Hii sheria ni unafiki tu, wizi mtupu. Pesa za uwekezaji ni kwa manufaa ya mabosi wa mifuko na wafanyabiashara wasio waaminifu. Hebu CAG aulize bei za ardhi zinazonunuliwa na mifuko hii ya kijamii iko inflated vibaya. Wafuatilie hayo na pia wafuatilie utajiri wa mabosi hao na ndugu zao. Hii kitu...
  7. D

    Sheria ya Mafao miaka 55, wafanyakazi wamehusishwa?

    Hii serikali ina watu waliochafuka na kunuka rushwa. Kama ni sheria wamepitisha iwe ni kwa wanachama wapya kama walivyofanya kwenye misamahaa ya kodi ya mafuta kwenye makampuni ya uchimbaji madini. Mbona wamesema sheria inafanya kazi kwa makampuni mapya ila wale wa zamani haitawahusu. Kuna...
  8. D

    Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

    Kwa nini watu wengine wanachangia bila kufikiria, hata kama mtu amekosea kuelezea mada lakini kila kitu kuhusu madokta kinaeleweka. Nyie mnaochangia na kukejeli madaktari mna akili finyu na uwezo mdogo sana wa kufikiria. Sina mengi ya kuwaambia ila inawezekana ni sababu ya malezi kitu ambacho...
  9. D

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Unajua hivyo viti wamekodisha kwa sh ngapi? Ni milioni 15, na hayo mafuso ya kubeba watu kuleta jangwani na kuwarudisha ni mil 21, posho za watu waliokodishwa kuhudhuria ni watu 2000*15000=30,000,000. Hapo sijapata bei za posho kwa wadau wa CCM waliohamasisha watu kuja na za viongozi wengine...
  10. D

    CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

    Anaorodhesha nini huyo wakati ndio kazi ambayo anatakiwa kufanya. Sasa mwalimu atajisifu kuwa anafundisha darasani? Asipofundisha atafanya nini? Ccm hawana lao tena. Kodi tukatwe sie, wenyewe wajisifu eti wamejenga barabara! Wametoa pesa kwenye biashara za CCM kwani? Sent from my BlackBerry...
  11. D

    Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia

    Hizo zilikuwa namba ambazo ziliunganika baada ya kupost. waweza kurudia kusoma
  12. D

    Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu inatwa Miswe (mwembe duka) unaingia ndani mita 500 tu. Ni barabara ya gari ambayo inaenda shambani...
  13. D

    Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu inatwa Miswe (mwembe duka) unaingia ndani mita 500 tu. Ni barabara ya gari ambayo inaenda shambani...
Back
Top Bottom