Search results

  1. Pakanyau

    Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

    Ushamba na umaskini unasumbua hapa tu. Hata aina ya simu yenyewe haijui ni Galaxy S 5 na si note 5
  2. Pakanyau

    T.I amezichapa na Mayweather

    Mmmmmmmmh mi napita tu msinirushie ngumi
  3. Pakanyau

    Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

    Kwa nini asipongezwe na vyama vingine wapinzani wa CHADEMA? Au tunafikiri kuwa baada ya CHADEMA ni CCM wengine hawapo?
  4. Pakanyau

    Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

    Nakubaliana kabisa kuwa CCM walivyo hii kasi yetu ya kutaka mapinduzi hawaiwezi lakini sasa ni chama gani ambacho kitaweza kwenda na kasi ambayo sisi tunataka kwenda nayo? au ndio old wine in new bottle? Kama haya yasemwayo hapo yana ukweli basi hakuna chama kitakachoweza kutufikisha kule...
  5. Pakanyau

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Hivi kwa nini kwenye kila mazungumzo yanayohusu CHADEMA lakima na CCM anazungumziwa? Hamuoni kuwa mnawapa umaarufu CCM/
  6. Pakanyau

    Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

    Nyie pigeni kelele mpaka mchoke ila sisi wenye mali zetu tumekaa pembeni tunachezesha kama vikalagosi dat is y I have politics
  7. Pakanyau

    ..Mawaziri saba watoswa.....

    CHADEMA na CCM wote ni wale wale kwani kila mmoja ana nia ya kutawala tu ndio maana mnatuletea uzi nyingi za kutugonganisha vichwa walala hoi. CCM tumekaa nanyi kwa miaka mingi alipoondoka mwenye chama chake kila mmoja akaanzabkukunja jamvi alilokalia mpaka sasa ni miaka 50. Najua chadema nao...
  8. Pakanyau

    Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    uzi huu unafurahisha sana.. Mke wangu nimembikiri mwenyewe kabisa na kuna wengine kama watano hivi nimewabikiri mwenyewe na wote wameolewa sasa hapo mnataka nieleza nn?
  9. Pakanyau

    Edwin Mtei: Tulimuandaa Said Arfi uenyekiti CHADEMA lakini ameamua kuondoka mwenyewe

    Dahhhhhh hivi mnajua kuwa CCM wameshatudanganya sana? Na ndio maana tumekuja huku sasa mbona na huku mnatudanganya tu kama CCM? Hivi mnatuaminisha nn? mnatuona sisi mambumbumbu sana?
  10. Pakanyau

    UHamiaji Uhamiaji ....mpya wadau

    Mleta uzi nawe mbona una mambo mapana hivyo?
  11. Pakanyau

    Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

    Jamani wakati wa campaign umeisha hapa tunataka fact! na wala si ushabiki. uki post chochote ni lazima uwe na fact yake na sio blah blah!
  12. Pakanyau

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    Nadhani sasa twatakiwa kujipanga nao wasije wakachakachuliwa bungeni!
  13. Pakanyau

    Elections 2010 Matokeo rasmi ubungo

    Tupeni data basi............ tuna hamu ya kuwasikia wabunge wetu
  14. Pakanyau

    Elections 2010 Tetesi: Mpendazoe ang'ara

    Uongozi wa nchi ya kidemokrasia huwekwa na umma na si ukoo au pesa au chama tawala! Mahanga kama ameshindwa aondoke na asiibe kura! Akajipange upya!
  15. Pakanyau

    Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

    Shemeji yetu yeye ana Bantu figure
  16. Pakanyau

    Julius K. Nyerere, The Unsung Hero Of Africa Who Made Nelson Mandela!

    Tukubali tusikubali huyu bwana alikuwa kichwa, mengi aliyoyafanya si rahisi kuyajua ila asingeyafanya ndio tungeyajua na kumlaumu. ila kila mtu anamtazamo wake juu ya kitu/vitu/ watu. sikushangai julius.
  17. Pakanyau

    Kagoda Haina Kesi, hawafikishwi Mahakamani Ng'o!

    Jamco_Za; Tunachotofautiana na viongozi ni ule uwezo wao wa kuona mbele kuliko wale wanaoongozwa hiyo ndio tofauti iliyopo, sasa shida inakuja ni pale kiongozi anapokuwa fisadi na mzandiki, maana anachokiona yeye huko mbele badala ya kutuongoza kwa faida yetu wote wao wanatungoza kwa faida yao...
  18. Pakanyau

    Felician Barongo wa Mzumbe University

    Kapuchi! Toa ushahidi, hoja yako ipate nguvu! vinginevyo yatabaki kuwa majungu tu
Back
Top Bottom