Kaa hapo karagabaho Rais akisema mtu akamatwe atakamatwa na akisema asikamatwe hakamatwi rais alishasema warudishe hawatashitakiwa sasa hapo napo unataka mwalimu wa kukufundisha jambo dogo kama hilo.Halafu ujue kambi ya upinzani haiongozi nchi so hata bajeti yao ikiwa mbaya au nzuri aina madhala...
Mchungaji Msingwa ni mbunge jasiri asiyependa kunyanyaswa cku zote mtu jasiri huonekana mbaya mbele ya watu waoga,watu tupo nyuma yako Mchungaji Msigwa usiogope hao waoga wa ndiyo wa kila kitu, wanauliza nani kampta uchungaji mbona hawaulizi nani kampa udoctor.
Kama wao kweli ni wakweli wayaseme hata maovu yao pia wanayoyafanya ya kupeana mimba na mengine mengi tunayoyajua.Haiwezekana Radio mwanzo mwisho wanasema mambo ya wengine tu na tena wakiegemea upande mmoja.Radio inatakiwa isifungamane na upande wowote pengine iwe imeanzishwa kwa madhumuni hayo...
Akiwapeleka mafisadi mahakamani mimi ntamuunga mkono na isitoshe ndugu huu co wakati wa kutishana watu wameamka mwache aseme kile anachokiona co kizuri wewe fanya kizuri zaidi ili aonekane kachapia lkn co kukaa unatishia watu dunia imeamka baba kaa na ukada wako hapo.Na kama unampenda na...
Tatizo siyo Mnyika kama unavyotaka kujifariji na kumsukumia lawama zisizo zake unataka mbunge achimbe visima au wewe ni msahaulifu kiasi hicho bunge lililopita hukusikia Mnyika akiongelea kuhusu maji wabunge wana mambo mengi na tatizo ni mfumo mbovu ulo wekwa na nyie mafisadi ambao mmetawala...
Mimi cna haja ya kujua cv yake lkn kwa hii bajeti ameonyesha ameshindwa kupunguza makali ya ugumu wa maisha kila kitu kimepanda juu kodi juu hata kwa cm je huo mpango wa wananchi wa vijijini kuwa na cm utawezekana?
Wewe gamba fisadi ulimpa nani kura jamaa ni jembe la kuleta ukombozi na saa ya ukombozi imefika mtaula wa chuya mwisho wenu umefika mlokula vitawatokea puani 2015
Jamani hamuwajui wanaotaka kuonekana kwa runinga kila msiba wanaenda sawa, kila msanii akifariki serikali yote inahamia na kutoa michango mingi ili mradi waonekane kwa vyombo vya habari kwa nini wasitoe kabla ya kufariki.Tunajua wewe ni gamba fisadi mkubwa wewe mla wa mali ya umma ndo msompenda...
Mkuu hapo hapo watu wanakuja kwa mapenzi yao ya kuwasikiliza wakombozi wa nchi hii kutoka mikononi mwa mafisadi na wezi wa mali za umma.Cjui kama cku ccm ikifanya mikutano yake bila kutoa hela na usafiri cjui kama watapata mtu hata mmoja watu wanakuja kufuata hela kwani maisha ni magumu ambayo...
Mchangiaji toa hoja au jibu hoja, kabila halijengi nchi bali watu wenye nia ya kufanya hivyo je hii nchi ni ya nani au ni ya kabila gani je ni watu wachache yaani viongozi na watoto wao? La msingi tusiangalie kabila la kiongozi bali mtu wa kuikomboa nchi mikononi mwa mafisadi wezi wa mali ya umma.
Mtoa maada hapo juu inaonekana yeye ni wale wale wa ndio kila kitu hata kama ni la kijinga huu co wakati wa kuburuzwa watu wameamka wabunge mbumbumbu wanapitisha miswada hata ya kijinga lkn wakitoka bungeni wanajutia kama hujui kitu ni bora kuuliza kuliko kupiga makofi kwa kila kinachosemwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.