Search results

  1. D

    Mume wangu anacheat nifanyeje?

    Ni kweli unavyoshauriwa na mimi yalinikuta. Cha msingi focus na uwe strong si kitu rahisi ila jitahidi hasa ukiambatanisha na sala. Asikudanganye mtu wala mganga hilo goti utakalolisugua na hayo machozi utakayommwagia Mungu, Mungu anajibu.
  2. D

    Muda gan wa kuurudi nyumban kwa wanandoa?

    Kama unamaliza kazi saa kumi na moja tuseme unakaa mpaka kumi na mbili na nusu na unadrive kwanini urudi nyumbani nne au tano usiku?
  3. D

    Kama natoka na mumeo...

    You will be killed ukichezea ndoa za watu wee jifanye mjuaji
  4. D

    Mume wa mtu nouma

    Watu nyie mnaofuata waume za watu ndio mnaovunja ndoa za watu. Kua uyaone kwavile hata watu wanapokuonya hapa pengine yanaingilia huku na kutokea kule
  5. D

    Habari zenu wandugu

    Naingia na mimi kujumuika nanyi kimawazo kwenye jukwaa hili
Back
Top Bottom