Search results

  1. F

    Wanachuo wote inawahusu

    Ime2lia iyo wadau bonge la ushauli ilo
  2. F

    Urgently needed

    Nimepata chuo na ndooo najiandaa kwenda kufanya reg J3 naomba mnijuze ni kwa muda gani bumu nitapata baada ya kufanya registration. Heko kwa wadau wote
  3. F

    Archicad and 3ds max ? Or autocad teacher wanted !!!

    Funguka vizuri upo wapi na una mising ipi ya design? Ktk normal residential house. Then na unahitaji kufunza muda gani ambao upo free then 2wasiliane kupitia 0759222359.nitakusaidia
  4. F

    Hii kali kwa Tanzania yetu

    Hi wanajamvi. Nimepata taarifa jana zilizonickitish kweli na kuamua ku2pia kwa wana jamvi ili 2jadili elimu yetu inaelekea wapi. Nipo kijiji kimoja mkoani mtwara kwa ajiri ya kuwaletea maji wana kijiji hawa. Lakini baada ya kufika shule 1 2kakutana na makamu mwl wa shule iyo ya msingi na...
  5. F

    Wale wa loan verification majina yametoka angalieni hapa-heslb

    hao jamaaa ni wandwanzi 2 kazi ku2zingua 2
  6. F

    tablet za bei rahisi zaidi

    Bongo bei iyo iyo haipo kama ipo mi nielekeze shop gani niitafute kesho
  7. F

    Tatizo la Nokia x2-01

    Jamani naombeni msaada cmu yangu nikifungua sehemu ya games inajiload afu baada ya sekunde kadhaa inajizima na nikichezea button inajirestart yenyewe xo nimeshindwa kuelewa hili ni tatizo gani na ufumbuzi wake ni upi na kinachoniuma zaidi kwenye game ndo nimedownload kila ki2. Natanguliza...
  8. F

    Gud music system

    Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamv. Kwa anayejua aina ya music mzuri uwe wa mwingereza, mchina na wengineo anijuze kwani nahitaji music system nzuri na isiwe home theater kwa aliye dar please anijulishe au kama kuna seller humu ndani apost na picture na ntafurahi...
  9. F

    New and Gud computer

    Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamvi. Ushauri kwa m2 anayejua aina nzuri ya raptop na specification zake azipost kwani nahitaji a new and brandy computer nzuri bei isizidi 650,000 na iwe na screen pana.mwenye picha za hizo computer azi2pie nizione na iwe ni dsm
  10. F

    Engineers

    Good qn hata mimi niliplan niulize xo nasubiri majibu kwa wadau.
  11. F

    Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

    Wa2 wa ud maneno mengi sana ooh mi nasoma chuo kikongwe hayo yote ya nini wa2 wanataka production na c maneno kibao oooo mi nasoma bach of science in eng na mwingne bach of engineering in - ni vi2 viwili tofaut sana kama kuna m2 aweze kutofautisha ndo 2tajua kipi ni chuo bora in engineering...
  12. F

    Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only

    Kiukweli singo anazingua tena sana mana ukiwa first year atawazingua sana first notice hatoi na anafundisha haeleweki kabisa na bt ukijiandaa kupiga msuli wako private kama mtoto wa kata dit hapasumbui bt ukiwa wa kishua mhh!!!!! 2taona mbele ya safari. Kuhusu hostel zipo pale dit japo hazitoshi...
  13. F

    Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

    Mkuu huo ndo ukweli kwan kipind nikiwa diplomaa dit mwaka wa pili nilikutana na jamaa wa ud akiwa degree mwaka wa 2 nae 2po field 1 hajui hata kusoma ramani ttizo ud wanajiona sana na wakati kuna mainginia waukweli 2 kutoka vyuo hivyo vya fund
  14. F

    Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only

    Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
  15. F

    Mchakato wa hostel ukoje kwa sisi tulopangwa ifm

    Aende mitaa ya bp or jolis mana kuna rum za kutosha 2 afu bei cheeeee sana
  16. F

    Tcu wametoa selection zote kwa kila mwanafunzi

    Nimeipenda iyo wadau iyo button sifa shift
  17. F

    TCU SELECTIONS OUT "once and for all"

    Mdau mwenye huruma na mimi anichekie mana presha imezidi kwangu s2455/0066/2007
  18. F

    little help guys!!!!!!!!!

    Mdau naona tele mizinguo 2 ninawashikaji zangu walipiga dit last year wanapigika 2 kitaa ctil up 2 now may b it kidogo mana kozi zingine bwana duu. Unakaa kitaa mpaka unachka. Ni hayo 2 wadau
  19. F

    Jamani wale wa Dit vipi?

    Wadau niaje naombeni msaada kama kuna m2 anaselection za dit,mist au arusha tech azi2pie jamvini mana daaaaaa nina mzuka wa kujua nilipo2piwa. Natanguliza shukrani kwa wana jamvi
  20. F

    UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

    Wadau ctill mpaka iv sasa mi cjui vipi wenye post za dit wazi2pie wadau
Back
Top Bottom