Search results

  1. A

    Mpenzi wa kike

    Wadada wote humu JF hujambamba hata mmoja?
  2. A

    Suprise nyingine kazi kweli kweli

    Mmmmmmmhh...! Unatisha wewe..!
  3. A

    Serious natafuta mchumba (mume)

    Kila la heri dada.. Utapata PM nyingi sana ila sio kila PM unayoipata huyo mtu yuko serious..! Inabidi ufanye upembuzi yakinifu.. Ninavyokuambia hivi nina ushahidi.!
  4. A

    Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

    Madame X, what if baada ya kutoa maganda hivyo viazi nikiviponda na kuvichanganya na viungo kabla ya kuvichovya kwenye huo unga wa dengu.... Will it be Okay?
  5. A

    Nyumba inapangishwa au kuuzwa ipo upanga mtaa wa longido

    Na anayetaka kupangisha je?
  6. A

    Kiwanja cha hekari 2.5 kinauzwa

    Hiyo Kisarawe wewe ndio unaifahamu vizuri?
  7. A

    Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    Asante my dear, kwa kweli nimepata fundisho kubwa sana.. Thanks..
  8. A

    Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    Mimi yaliyonikuta si kwamba nilitangaza mimi, hapanaaa.... Kuna mkaka alitoa tangazo anahitaji mchumba/mke sasa ndio nikarespond kwenye hilo tangazo lake.. Mwisho wa siku ndio yakanikuta ya kunikuta..
  9. A

    Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    Yaani mtoa mada alichozungumza ni ukweli mtupu hata mimi yameshanikuta, nili respond kwa mkaka mmoja aliyekuwa anatafuta mchumba, akaniambia angependa tukutane guest house kwani ni mahali palipo tulia na akaongeza anatangulia yeye ataniambia yuko chumba namba ngapi ili nimfuate... Nilipatwa na...
  10. A

    Tatizo la kutokukomaa kwa mayai

    Habari zenu wana JF.. Nilienda hospitali kwa ajili ya check up.. Majibu yaliyokuja nikaambiwa mayai yangu hayakomai hivyo lazima nitumie dawa nikitaka kuconceive, nimepewa dawa lakini sijaanza kuzitumia kwa kuwa sina mpango wa kuzaa kwa sasa..Nauliza kama kuna vyakula au matunda ya kutumia zaidi...
  11. A

    Hapa kuna future kweli?

    Nawashukuru wote kwa ushauri wenu. Nimepata somo zuri hapa JF. Nawatakia Jumapili njema
  12. A

    Hapa kuna future kweli?

    Asante mpendwa kwa ushauri wako..
  13. A

    Hapa kuna future kweli?

    Nimepitia mengi hivyo naogopa isije kuwa napoteza muda wangu maana naona kama hasomeki vizuri. Sasa miezi mingapi ndio inafaa kwa yeye kunipeleka kwake? Nahitaji assurance mapema.
  14. A

    Hapa kuna future kweli?

    Kutokana na ushauri nilioupata humu nimeanza kufunguka hivyo nahisi inawezekana akawa na mwanamke labda anaishi nae ingawa yeye anakataa na anasisitiza niwe na subra atanipeleka tuu kwake muda si mrefu from now.
  15. A

    Hapa kuna future kweli?

    Naogopa nisije nikakuta bibie katinga akanipa kichapo bure akaniharibu Reception.
  16. A

    Hapa kuna future kweli?

    Nimestuka my dear. ndio maana nikaona niombe ushauri kwa ninyi rafiki zangu wa JF. Nashukuru sana kwa somo
  17. A

    Hapa kuna future kweli?

    Haishi na wazazi wake. Amenielekeza tuu kwamba ukitaka kufika kwangu unashukia kituo flani ukiuliza tu madreva taxi au boda boda watakufikisha. Ila mi naona si ustaarabu kum surprise mtu napenda anipeleke yeye akiwa willing sitaki kumlazimisha.
  18. A

    Hapa kuna future kweli?

    Asante my dear! Naanza kufunguka. Nashukuru sana kwa JF kwa kweli.. Itabidi nianze kujipanga upya.
  19. A

    Hapa kuna future kweli?

    Asante The Boss.. Inawezekana kweli akawa ni kicheche maana ninachojua mkiwa wapenzi kuna ile mawasiliano ya mara kwa mara. Mi ndio huwa naanzisha mawasiliano..Najiuliza sana kama ananipenda kweli. Ingawa yeye anasema ananipenda ila tatizo alishatendwa hivyo anaogopa kukurupuka wakati huu..
  20. A

    Hapa kuna future kweli?

    Kwa kweli The Boss ni muhimu sana maana wanaume wengi hawataki hii kitu kabisa ya kupima, wanaogopa
Back
Top Bottom