Search results

  1. omben

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Ahsante kwa burudani. Ubarikiwe
  2. omben

    Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

    Zaburi 150:1-6 [1]Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. [2]Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. [3]Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi; [4]Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa...
  3. omben

    Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Umenikumbusha wiki tatu zilizopita. Alinipa namba yake nami nikampatia yangu. Baada ya muda kama saa moja nikakuta sms ikisema. “ Samahani naomba unisaidie shilingi 20,000, nimpeleke mama hospital BP imepanda na hapa sina pesa nitakurudishia mwishoni mwa mwezi. Nakushukuru kwa msaada wako kama...
  4. omben

    Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

    Hapana alikuwa hakimbii. Maana mimi natembea kilia siku jion umbali wa km 6 kwa saa.
  5. omben

    Msaada: Nateseka sana na huu ugonjwa wa mfumo wangu wa mkojo

    Jaribu kufanya vipimo vya tezidume. Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
  6. omben

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huku kwetu Songwe wamekata 12:30 Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
  7. omben

    Nissan patrol y60 vs land cruiser series 80, ipi nzuri ya kumchukua?

    Chukua hiyo Land Cruiser Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
  8. omben

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Makampuni karibu yote yamesha hama kwenye 2G. TTCL bado wapo 2G. Boresheni huduma zenu vizuri. Kwa sasa Voda wameanza na 5G. Sijui TTCL yetu tutahamia lini kwenye 3G.
  9. omben

    Pikipiki iliyotumika naweza kupata kwa Shilingi ngapi?

    1MILLION Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
  10. omben

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Naomba kuuliza. Hizi namba zamagari zinaanzia na namba ngapi. Maana sijawahi kuiona namba T 001DZA. Mara nyingi nazikuta Ni kuanzia T101 DZA. Je wanaanza kutoa namba 001 au zinaanzia 101,
  11. omben

    Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

    Dawa ni kujipanga upya. Kutenda kosa sio kosa. Kosa kubwa ni kurudia kutenda kosa la mwanzo.
  12. omben

    Swali;dereva huwa anatakoje humo ndani?

    Anatokea dirishani kwa kujibana. Ukienda pale bandari angalia kontena lililopakiwa gari, utakuta dirisha la mbele la gari la kushoto au kulia utakuta liko wazi.
  13. omben

    Wajumbe wa CCM wapitisha jina la Mgombea Ubunge jimbo la Konde

    Inamaana hata yeye hajajipigia kura
  14. omben

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba promocode ya merdian
  15. omben

    Wanaume! Nimewaita, pimeni DNA watoto wenu wanapozaliwa

    Kwa sisi waafrika hatuna DNA. DNA yetu ni kitanda hakizai haramu. DNA inawafaa wazungu kwa sababu wanandoa za mkataba. Ili kupunguza kubambikiwa watoto ambao watazaliwa mkataba wao wakaona watengeneze DNA. Na ukitaka kuona siku zako za kuishi zinapungua nenda kapime watoto wako DNA utakufa kabla...
  16. omben

    Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari

    Inaomba password, niingize password ipi?
  17. omben

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mboreshe na hili la MB ilikununua kifurushi kingine salio libaki Mb 50, ndipo unaweza kuongeza mb zingine. Wafanye kama Halotel unaweza kuongeza MB hata kama salio la mb ni 3Gb utaongeza tu.
Back
Top Bottom