Search results

  1. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni mwalimu Hamisi Yusuph Mgana wa KILINDI-TANGA, nahitaji mwalimu wa Sekondari wa kubadilishana naye; Niende GEITA na yeye aje KILINDI-TANGA. Kwa mawasilianozaidi; 0716796908 au 0763563980 au 0784384089. Tusaidiane juu ya hilo na Mungu Alifanyie wepesi!!!
  2. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni mwalimu Hamisi Yusuph Mgana wa KILINDI-TANGA, nahitaji mwalimu wa Sekondari wa kubadilishana naye; Niende GEITA na yeye aje KILINDI-TANGA. Kwa mawasilianozaidi; 0716796908 au 0763563980 au 0784384089. Tusaidiane juu ya hilo na Mungu Alifanyie wepesi!!!
  3. H

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Jamani, mfumo wetu wa Elimu ni mbovu tu wala tusilaumu vyuo!!! Sasa kama mwanafunzi anasomea Ualimu then no seminar presentation, hizo TP zitamtosha? Administrators na managers hawataweza kuja hivi!!! We hav to be individual creatives in our daily life!!! My perspective no need to judge!!!!
  4. H

    Habari za uhakika kuanzia mwakani elimu ya msingi ni miaka kumi na sekondari ni miwili

    Elimu ya Tanzania byeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Wao washanufaika jamani, matoto yao yapo Ulaya, wana shida gani? Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaaaa!!!!!
  5. H

    Walimu wapya waanza kutaabika

    Asante ndugu, haya si ndio yale majitu yasiyojua haki zao za msingi!!! Bora linyamaze kama kichwani ni KINDERGATEN
  6. H

    Walimu wapya waanza kutaabika

    Bora uongee wewe kaka, kama halina akili vile!! Labda ana ndugu serikalini, ndio wale wale (CONSERVATIVES)
  7. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu Lawrence Gowela wa Kilindi-Tanga, anahitaji Mwalimu wa kubadilishana naye kutoka NYANDA ZA JUU KUSINI kama: Songea, Iringa, Mbeya Njombe, Ludewa, Rukwa na Mpanda. Naomba tuwasiliane kupitia; 0755 38 96 08 au 0716 20 53 57
  8. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoani Tanga-Kilindi, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili yeye aje Tanga mimi niende Geita kwa mawasiliano tuwasiliane kupitia Na. 0784 38 40 89 au 0763 56 39 80 au 0716 79 69 08 tusaidiane ndugu zangu!!!!!
  9. H

    Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    uongozi wa Mulugo ni sawa na Bi Kirembwe Giningi yaani nyeupe iwe nyeusi na nyeusi iwe nyeupe! Mmh.....basi balaa tupu!
  10. H

    Njaa yazidi kutawala vijana wanaotegemea MOEVT.

    Tanzania ishakuwa ngumu sasa kwa mwendo huu! Yaani siasa mpaka ktk maisha ya watu! Haya bana kwani mwenye shibe kamwe hamkumbuki mwenye njaa!
  11. H

    Madaraka ya Rais katika Katiba mpya!

    Kwa kweli, Rais abaki na madaraka yake tu kwani hakuna waaminifu na wanaofuata Integrity katika kuifanya hiyo kazi kama endapo Rais atapunguziwa hayo madaraka yake! According to me and not necessary to be taken!
  12. H

    Ni Wimbo au Nyimbo?

    Napenda league za wasomi kama hizi kwakweli! Kama anabisha kwamba, wingi wa uwanja ni nyanja au viwanja, mwelekeze akasome NGELI ZA NOMINO na Ushahidi wa KIISIMU
  13. H

    UTAFITI: Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

    ukiambiwa Tanga raaha, kuna mengi bandugu!
  14. H

    Nafasi za Kazi DFID na Ubalozi wa Uingereza: Mshahara kuanzia Milioni 4!

    dah, ebana e, bt qualifications zao kuanzia ngapi kaka? Hawataki ma transcript kaka? Au kuanzia Dr.
  15. H

    Nimueleweje? msaada tafadhali

    Cha msingi na sekondari, endelea kuwauliza hao mashosti zake ili ufahamu yuko wapi, labda ana aunt bt hakukutel mzeiya! I know inauma sana kaka! Pole saaana!
  16. H

    Nimueleweje? msaada tafadhali

    kuwa mvumilivu kaka coz haturuhusiwi kuhumu, kama wako wako tu kama anajitambua
Back
Top Bottom