Search results

  1. D

    Wanasiasa wa Tanzania na PhD za Heshima na Vyeo vya Kijeshi.

    Bw. Einstein alisema "in politics stupidity is not a handicap." Hata ukiwa na cheti feki unapwaga tu
  2. D

    Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    BASATA wafunike nyuso zao kwa viganja vya mikono yao kama wale manyani wa Adili na nduguze
  3. D

    Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!

    Mkuu hao unaosema wanaelewa lakini hawazungumzi wamerudi kwenye ule utamaduni wetu, "the culture of silence and fear." Ni ule wakati wa kuwaita wale wenye mawazo tofauti na wewe kuwa wana mawazo ya kufugwa. Tunaambiwa tuongee tu mambo yanayoleta sembe kwenye sahani. Lakini hao wanaosema hivyo...
  4. D

    Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

    Mkuu hata Wasomali wana furaha kuliko sisi kweli?
  5. D

    Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

    Aone ni opportunity kwake? Hawezi kuwa so mean. Mtu anayependa demockrasia ya kweli anatakiwa ashinde kiukweli sio kwa vile kuna mwingine hakuweza kugombea for some reason or otner
  6. D

    Kama TLS watachagua mwanasiasa itakuwa ndio mwisho wa uhusiano wa serikali na TLS

    Mbona siku zote kinaongozwa na wanasiasa mkuu? Au una maana wanasiasa wa vyama vya upinzani?
  7. D

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi

    Maaskofu hawana polisi wala mahakama ya kumlazimishia mtu afanye wanachosema
  8. D

    ACT-Tanzania yalibomoa gazeti la Mbowe, Tanzania Daima

    Na wewe unajiita mwandishi halafu unaandika huyu bwana ni mwandishi "mzuli".Haya ni majanga kweli
  9. D

    Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    Wewe ulipokuwa unasikia kiwango cha elimu kimeshuka ulikuwa unaelewa nini? Kama hawa ni wanavyuo je sisi mbumbumbu mzungu wa reli itakuwaje. Kuna mwalimu wangu zamani ilikuwa ukisema mambo ya ajabu anakuambia "you are not educated at all" sisi tukafikiri ana kichaa
  10. D

    USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

    Precious blood? Do African dictators consider the blood of their fellow Africans precious? Where do these dictators get the moral authority to talk about immorality? This talk is a non-issue. Africans have no more blood to shed. It is being shed and sucked all the time by these dictators
  11. D

    Yadhihirika: CCM ndicho Chama kinachopendwa zaidi na wasomi

    Hapo nami nimeamini kweli Tanzania kiwango cha elimu kimeshuka hadi mwisho.
  12. D

    Hali mbaya kiwanda cha makaratasi 'mufindi paper mills'

    Serikali iache ubabe? Rais wa zamani wa Marekani, Thomas Jafferson anatuambia hivi: "EXPERIENCE HAS SHOWN THAT EVEN UNDER THE BEST FORMS OF GOVERNMENT, THOSE ENTRUSTED WITH POWER HAVE, IN TIME, AND BY SLOW OPERATIONS, PERVERTED IT INTO TYRANNY".
  13. D

    African Dictators meet in Addis Ababa

    "You are not supposed to be so blind with patriotism that you can't face reality. Wrong is wrong, no matter who says" -Malcom X
  14. D

    Big Result Now imefeli kabla ya kuanza

    Hiyo ni empty sloganeering kama kawaida mkuu. Hizo big results zinaanzia sekondari? Mwana filosofia Plato anasema "THE MOST IMPORTANT PART OF EDUCATION IS PROPER TRAINING IN THE NURSERY". Sisi wanatoka praimari hawajui kusoma wala kuandika.
  15. D

    Siku ya Vichaa duniani na kuongezeka kwa matukio ya vurugu nchini

    VIFO? "It is easier to find men who will volunteer to die, than to find those who are willing to endure pain with patience"-Julius Caesar
  16. D

    KADA CHADEMA kumvaa Waziri Wasira 2015

    "Power never takes a back step, only in the face of more power."-Malcom X
  17. D

    M4C Arusha viwanja vya Ngarenaro, Kamanda Lema kuongoza mkutano leo

    "Change does not roll in on the wheels of inevitability, but comes through CONTINOUS STRUGGLE, and so we must straighten our backs and work for our freedom. A man can't ride you unless your back is bent."-Martin Luther King Jr.
  18. D

    Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

    "Wise men speak because they have something to say; fools because they have to say something"-Plato
Back
Top Bottom