Search results

  1. CharmingLady

    Tafsiri ya namba kujirudia kwenye ulimwengu wa roho

    Daddy… Usije ukatwaliwa kabla sijakuona. Hebu njoo inbox kwanza
  2. CharmingLady

    Kifo cha Benard Membe is a waking alert

    Huu ni mwanzo wa visasi kwa familia hizi mbili… eeh Mola tunusuru
  3. CharmingLady

    Nina degree ya petroleum engineering Sina kazi, Serikali yangu inatoa milioni kumi Kwa Simba na Yanga

    Tatizo sio Serikali tatizo ni wewe mwenyewe, umepata elimu ila huna akili. #Period
  4. CharmingLady

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Umenifanya nirudi kusoma tena hilo tangazo la kifo nikaiona hiyo “he”… Aisee ilikuwa hatari sana
  5. CharmingLady

    Yuko wapi Kibakuli mdogo wake Nyama yao

    Hivi ndio kapigwa mvua 30?
  6. CharmingLady

    Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Alikuwa mgonjwa tangu kuzaliwa…
  7. CharmingLady

    Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Nilifiwa na mwanangu mikononi mwangu… Isikilizie tu kwa jirani, isikutokee… 😢
  8. CharmingLady

    VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

    Mshana Jr nimeona kama alipigwa na bumbuwazi flani hivi, kama skadi flani hivi kabla ya kudondoka mara ya pili…
  9. CharmingLady

    38 years man, single and searching

    Shouger upo, hebu nicheck inbox
  10. CharmingLady

    Natafuta mke

    Muwe mnaleta mrejesho kama kuna harusi tuje kula ubwabwa…
  11. CharmingLady

    Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Mie yalinikuta haya ya makaunta book. Mtoto darasa la 3 anabebeshwa kaunta book 12. Sita ya classwork na 6 ya homework. Walau ingekuwa quire 1. Sasa ni quite 2.. mwisho wa siku mgongo unapinda. Sababu eti wanawaandaa kuingia la nne wasiteseke
Back
Top Bottom