Search results

  1. L

    Lulu ana zaidi ya miaka 18 - Jamhuri!

    Mimi nafikiri kama ni kosa basi hakuna kosa kubwa kama taarifa za uongo. Imefika wakati sasa kuwepo na kitengo cha kutunza taarifa na ziwe sahihi na siyo za kubabaisha kwa sababu bila hivyo nchi yetu itafika mahali itahukumu watu vifo wakati hawahusiki. Nasema hivyo kwani huko tulikotoka...
  2. L

    Utitiri wa vyama vya siasa nchini una ufanisi/tija gani?

    Nalileta kwenu kama changamoto ya mawazo Kwani nionavyo mimi ingawa siyo mwanasiasa mfumo unaofutwa na nchi za magharibi kwa kuwepo na vyama viwili vya siasa na kuruhusu mgombea binafsi /independent kunaleta uwajibikaji mkubwa katika serikali. Watanzania wenzangu tumeona kesi zinafunguliwa...
Back
Top Bottom