bora umeeleza ni kshs, nimekaa hapa najiuliza, huyu jamaa analilia 12k tshs?
ushauri wangu ni wakubaliane iwe malipo ya mara kadhaa. 4k kila wakikutana ili akienda siku ya kwanza asiridhike, abaki anadai 8k na ameonja supu ya jirani 😂😂😂
Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call forwarding kwa namba zote (on condition or always), lakini nachotafuta ni kama namba kumi hivi...
mara ya mwisho, wamesema kwa kutumia fenesi wamegundua kuwa laboratory zetu hazipimi kirusi cha Corona. leo ndio wametumia hayo maabara kubaini kwamba madereva hawana Corona. kweli....
Nilikuwa najaribu kujiunga kifurushi cha kimataifa kwa line ya airtel ili nipige Australia lakini nikakuta hawana international bundle inayoniruhusu kupiga huko. Naona Tigo pia kama hawana. Naomba kuuliza kama kuna mtu mwingine humu ndani hupiga simu huko na anatumia mtandao gani.
Mkuu, nimependa kwamba unataka kufunza watu kiingereza. Whenever I look at where we (Tanzanians) are as English speakers, I am grasped by a sadness so deep... I digress, ngoja nirudi topic. Nafurahi unataka kufunza watu kiingereza, na mimi naomba nikueleweshe vitu viwili vitatu pia.
Naelewa...
nimechukua Visa TravelMoney card pale BancABC ya dollars na kuweka vijisenti. nilikamilisha kila kitu na nilipoenda nyumbani nikaunganisha card na PayPal. tatizo linatokea kwamba haikubali transactions zozote. nilifanya verification PayPal walikata $1.95 ila hawakurudisha. ni wapi ninapotea...
kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu kiingine.
nimeona ni vizuri nifanye tests mwenyewe nijue kama kweli speeds zinalingana. for those...
Natafuta jinsi ya kufungua ports kadhaa kwenye Modem ya 4g. Hii ni kwa kusudi ya kufungua NAT type kwenye PS4/ Xbox.
Naomba msaada kwa wakuu wa hapa kama Chief-Mkwawa na Njunwa Wamavoko.
Kama haiwezekani kwa Tigo,kuna uwezekano wa mtandao mwingine? Maana kwenye dashboard ya Airtel naona kuna...
kweli tunag'ang'ania vibovu. CRDB wamekataa kunibadilishia namba ya simu na niliyokuwa natumia zamani napata shida sana kujua kama hela imekatwa nikiwa porini porini
natafuta mdau ambaye ana dollars kwenye PayPal yake tufanye biashara maana nimechoshwa ni CRDB. sijaweka post kwenye matangazo maana watumiaji wengi wa PayPal wapo humu ndani
baada ya kutumia surface pro, windows laptops kwa miaka na Xbox, nilionelea niingie kwa windows mobile. mzee wangu alikuwa ameharibikiwa na simu yake so nikampa my android beast na kuvuta Lumia 950 XL.
worst decision of my life. nasema hivi kama mpenzi wa MSN na mambo yao. kweli simu ipo smooth...
game yeyote ile ukinunua hurusiwi kufanyia biashara ya aina yeyote bila ruhusa ya mwenye kutengeneza (game develpoper). na sio hilo tu, hata hizo PS4 hutakiwi kufanyia biashara aina yeyote. sema tu haya makampuni ya ulaya hayatufuatili, lakini tunafanya mambo kienyeji zaidi.
kaka hizi zinaitwa public forums for a reason. mtu akija question what you've said, sio unapanda Mori. kaa chini, panga points zako umueleweshe. asipoelewa, mpishe
2. unavyosema ana poor Tanzanian mindset lakini hutaki kumwonyesha alipokosea, how are you any different from his *alleged*...
kaka umetisha!!! lakini nimependa zaidi ulivyo maintain your cool :biggup:. ukija Dar.. nitakuzawadia mtoto wa kiarabu. you always have had my respect, lakini leo you've past and beyond
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.