Search results

  1. M

    Uhujumu wa tanesco, je wewe unahusika?

    Inauma sana hii. Nilisoma juzi juzi hapa kuwa mapato yameongezeka kutoka shs. billion 57 hadi billion 85 mara baada ya kusimamishwa mkurugenzi. Haijapita wiki tatu tangu hii itokee. Matumizi yote kwa mwezi ni karibu shs. Billion 11. Inamaanisha Tanesco ina-ziada ya shs billion 74. Hizi pesa...
  2. M

    Cag report and social security funds

    Naomba, tuambie hiyo pesa inayokaa kwenye haya mashirika ya kijamii, yanatulipa riba kiasi gani kila mwaka, kama wao wanapata mabillion?
  3. M

    Cag report and social security funds

    Nasikia haya mashirika yana pesa nyingi za kutisha lakini jinsi fedha zinavyowekezwa mashaka lazima yatande kila mahala. naomba kuuliza yafuatayo. 1. Hivi hiyo Riba tunayopata ya kama asilimi 0.005 inatusaidia nini wakati inflation rate ni kubwa? Wao wanasema faida ni kubwa, yaani ukiwekeza...
  4. M

    SUGU, achana na Muziki!

    Samahani, niko nje ya hii topic. Nimejaribu miaka mingi nikitaka kujiunga na jamiiforum. Lakini sijui ni wapi naweza nikiweka a new post. Links zimejificha sana. Pia hata ukitaka kuweka post yako kwenye category fulani haionekani hiyo category. Nitafurahi kama nitaemishwa hapa kidogo. Miaka 4...
Back
Top Bottom