Search results

  1. P

    ATCL kurejea angani Ijumaa!!!

    halafu?
  2. P

    ATCL kurejea angani Ijumaa!!!

    Biashara iendeshwe na wafanya biashara! Hakuna sababu ya kwanini tusiwe na ndege za nchi hii! wapange na wapangue, wanaowajibika na wenye uwezo wa kuendesha shirika la ndege wafanye hivyo.
  3. P

    Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

    Tusibeze uhuru hata kidogo. Haki ya kujitawala ni haki ya msingi hata kama katika kujitawala huko utafanya madudu. Viongozi waasisi kazi yao ilikuwa ukombozi, waliofuata ndio wametufikisha hapa tulipo, sisi sasa tuangalie maendeleo. Kufikiri matokeo ya uhuru yalipaswa kuwa maendeleo ya...
  4. P

    Ni ripoti ya Kijinga: I really mean it...

    Kwanini wasiendelee kudharau iwapo wanajua cha mwisho wasomaji wanachoweza kufanyi ni uchambuzi tu! Kama matokea ya msomaji yanatabirika kwa mwandishi, kwanini apate hofu! Labda katika hili tume huru/binafsi/wakereketwa ndio zinapaswa kuibuka kuandika kwa kina!
  5. P

    EX lover wa Obama atoboa siri zake...

    Ndio maana atashinda
  6. P

    Obama becomes first US President to support gay marriage

    Sasa haya maneno ya msagaji/basha/****** ni ya wazungu ehe? AMA ndio tunaosema tafsiri?
  7. P

    Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

    People do work every day! How do we define labour and how is it linked to the market those are totally different question! Labour using Marx in general terms, warned the danger of making labour a commodity, however, his concern was more on the relationship between labour, accumulation, and...
  8. P

    Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima

    Hivi Kamati ya katiba inadaktari. Kama hapa, ateuliwe kabisa! Maana kazi hiyo inakuwa nzito
  9. P

    Ukombozi wa nchi hii utaanzia wilaya ya same, mwenye masikio naasikie na kushuhudia haya

    Huwa nafurahishwa sana na mama kilango, haswa alivyoweza kutumia msemo wake wa "humu ndani hapatoshi! Quite interesting.
  10. P

    Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

    In context of neo capitalism an economic man might see, ideas of collective production, ownership and/or distribution impractical. However, what is important in understanding ujamaa ideology, which partly draw from hunters and gathers societies, it provides an alternative model of organizing...
  11. P

    Jenerali Ulimwengu azidi kuwanyima usingizi watawala wa CCM

    Napenda maandiko ya generali, lakini wakati mwingine nikisoma napata Shida kuelewa Kama na yeye amepoteza matumaini na mabadiliko.
  12. P

    WASOMI: Tatizo si Mawaziri ni Mfumo!

    Sio vizuri kupuuza chembe za mabadiliko hata kama Yule apendekezaye anamapungufu. Kwani ni kujinyima fursa ya mabadiliko. Nadhani uwajibikaji maana huo ukiwekewa utaratibu utatufaa baadaye
  13. P

    Tume ya Warioba isije ikawa kama Tume ya Warioba

    Ndio lile swala langu la "ya". Unapoibinafisha nafasi ya uongozi kwa jina la mtu inakuwa tatizo. Serikali ya time ya - ni matatizo ya kiutendaji, umiliki, hata kuwajibisha
  14. P

    JK hujawatendea haki wabunge wa CCM

    Raisi anahaki ya kuchagua yeyeto! Pia sio sisi tunaosema, mbunge asiwe waziri!
  15. P

    Utaratibu mpya wa uwajibikaji

    Katika hotuba yake (Raisi) ametoa utaratibu mpya wa uwajibikaji ambao naona ni mzuri iwapo utajengewa utaratibu wa wazi. Kasema kuanzia sasa, uwajibikaji utahusisha utahusisha makundi Matatu: moja, ni wale wenye dhamana ya kisiasa (mawaziri), pili watendaji wa wizara(makatibu na wakurugenzi)...
  16. P

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Nianze na kumpongeza Raisi kwa kubadilisha baraza la mawaziri, bila kuongelea ubora wa baraza la hilo ama mchakato wake, kwani huu ni mjadala mwingine na unaendelea. Mimi nianze na hili baraza tulionalo, maana ndio lishakuwa baraza sasa, na muda wake wa kazi ni miaka mitatu tu. Napata hofu...
  17. P

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Tupo dondoo sake kidogo
  18. P

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Tupe ujumbe na mauzui yaks na wapi uliiona?
  19. P

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Kwa ujumla alitengeneza movie ngapi?
Back
Top Bottom