Search results

  1. P

    Mishahara ya madaktari wetu; wanastahili nini?

    Hata ukilinganisha na governor was UK bado tanzania madaktari wanalipwa hela ndogo mno. Ukipiga hesab kutumia namba zako, daaktari UK analipwa poundi 50,000 na governor wa UK analipwa kianzio cha pound 300,000. Kwa hiyo mshahara wa governor ni 6X ya mshahara wa UK doctor, unanipata? Sasa turudi...
  2. P

    Jamani Maisha ni Magumu sana Ulaya, Watu Wanateseka - Mwana FA

    Ni kweli, hizi nchi za ulaya marekani na kwingineko maisha ni magumu. Kila kitu ni fedha, na gharama za maisha ni juu. Kwa hiyo kama unataka kwenda huko lazima uwe na ajira ya kueleweka. Hizi ajira za mitaani za kuosha vyombo hotelini hazilipi. Sana sana utapata pesa ya chakula na kodi ya...
  3. P

    Matokeo Kidato cha Sita 2009

    Hongera sana Kibaha sec!!
  4. P

    Zimbabwe Is Dying

    The Truth, I am really beginning to wonder about your "IQ" because of this comment. Do you even know how the IQ stats were obtained, i mean, whats tests, purposes and biases? Don't believe everything you read!
  5. P

    Relief for consumers as Kenya fixes fuel prices

    Yeah, sometimes its good for the government to intervene. These oil companies are ripping people. They are quick to rise prices when crude oil price hike but very reluctant to go in reverse. I suggest they should be fined!
  6. P

    EAC: Kenya has no reason to bend too low for acceptance

    This is another one of the typical politics that hinder our progress. Even without knowing that it was from the Daily Nation, you can sense that it was printed to promote Kenyan interests at the expense of other EAC-to-be countries. For one, saying that "In Tanzania, Kenyans seem to be seen as...
  7. P

    Rwanda to use English in schools. What's wrong with Swahili or French?

    IF you look at it, it makes a lot of sense for Rwanda to switch to English and ditch French. Kwanza, Rwanda imepakana na nchi zinazozungumza kingereza, nchi za Africa Mashariki. Hizi ndio nchi ambazo zinafanya zinamuingiliano wa kiuchumi na kisiasa na nchi ya Rwanda. Kwa hiyo ni jambo la maana...
Back
Top Bottom