Search results

  1. murugalama

    Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

    Vitu vingine ni kuvichukulia simple, pengine anayeongea yupo mbali na tabia hizo, ameamua tu kuchemsha vichwa vya watu. Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  2. murugalama

    Sackur: Good to see my interview with Tundu Lissu has stirred passionate debate!

    Kwa nn watu wasikamatwe wakati kuna watu wamepewa dhamana ya kuwakamata. Suala la Kibiti mbona lilifika bungeni na majina yakatajwa ya waliopotea mikononi mwa vikosi vyetu. Pengine umepoteza kumbukumbu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. murugalama

    Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

    Mmeshikwa pabaya, hasira zote za nini? Membe ni Mtanzania, Membe ni mwana CCM, ana haki zote kikatiba, vimaswali vya kijinga
  4. murugalama

    Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

    Si bora wamiliki hao uliowataja tutapata hata kazi za vibarua. Wewe unamiliki Nchi watu wanapata mlo mmoja kwa siku
  5. murugalama

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Kesi hii yaweza kuwa rahisi sana, kinachotakiwa ni uchunguzi huru. Nakuongezea maswali, je risasi zilipigwa mbele, nyuma au pembeni ya Lissu, je! risasi yaweza kupoteza mwelekeo ikikutana na kizingiti, je! uelekeo wa gari ya wasiojulikana na gari ya Lissu ulikuwaje, je! uchunguzi wa awali wa...
  6. murugalama

    Kamanda wa Polisi Kinondoni: Mwandishi wa the Guardian aliyeokotwa Bunju alikuwa amelewa wala hakutekwa

    Maswali ya kujiuliza ni mengi sana lakini kwa uchache tu ni kwamba, Mhariri amekuwa na lipi kubwa kwa usalama wa Nchi kwa ulishaji wake wa habari, pengine ana maadui binafsi nje ya mfumo dola, je, ni kweli kitendo kimechotokea ni sababu ya ulevi uliopitiliza, historia yake ya unywaji imekaa...
  7. murugalama

    Muonekano mpya wa Yusuf Manji baada ya kusota rumande wiki kadhaa

    Alikuibia na ukakubali, ningekuwa wewe nisingekubali aisee. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. murugalama

    Sheikh Ponda anaichonganisha Serikali na Waislamu

    Fanya utafiti ndio uje uchangie hapa, kwa maelezo ya Ponda, maelezo ya majirani na kwa mujibu wa magazeti usingekuja na vijiswali. Siku nyingine tumia vijiswali hivyo kufanya utafiti ili uchangie vizuri vinginevyo inaonekana una uelekeo wa kinafiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. murugalama

    Kuendelea kuchangia michango kwenye mifuko ya wafanyakazi ni ujinga uliopitiliza

    Hakuna sheria inayomlazimisha mwajiriwa kujiunga na vyama Vya hiyari Vya wafanyakazi pia mwajiri kukata makato bila idhini ya mwajiriwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. murugalama

    Enyi Viongozi wa Tanzania mnaowaudhi / kuwakera Wananchi mmekisia alichofanyiwa mwenzenu Uganda?

    Umesahau kisa cha Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bw. Kleruu. Kisa cha Mzee Mwinyi, msafara wa Mhe. Kurushiwa mawe Mbeya, mwenyekiti wa chama kupigwa kwa mawe hadi kifo kule Mwanza!! Waganda wana vingi vya kujifunza pia kutoka kwetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. murugalama

    NSSF: Vigogo 12 waachishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi

    Safi sana, na hawataweka hayo makatambuga lakini kila litajapo jina la mudi mwili wako unavimba nusu kupasuka. Mtenda akitendwa. Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  12. murugalama

    CHADEMA: Maigizo ya Ngeleja hayana tija kwa Taifa, ni 'utakatishaji wa fedha' haramu za ESCROW

    Anahangahika na watu wameosababisha maisha magumu. Halafu wewe kumjua ana madeni ya kutosha na hapati milo mitatu isiwe sababu ya kumfunga mdomo, kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake. Binadamu ni binadamu hawezi kuwa mbwa hata kama ni sifa haiwezi kuwa kwa majina haya. Sent from my TECNO-J8...
  13. murugalama

    Mbona Watoto wa Mghaibuni Mpinzani wa Marekani hawana tofauti na hawa wetu wa Uswahilini?

    Mavazi ni jambo la kawaida sana, naweza sema mleta mada ana tatizo la afya ya akili juu ya uchambuzi lipi ni muhimu kuliko lingine
  14. murugalama

    Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?

    Sasa busara za Polepole hazipo tena, hakuna kitu kibaya chini ya Jua kama unafiki, hasa unapotetea kitu ambacho unajua si sawa
  15. murugalama

    Mwongozo wa Bashe: Serikali kupitia Waziri Mkuu haijatatoa taarifa ya serikali Bungeni?

    Wizara ya viwanda au tovuti ya Wizara kuangalia mapicha, weka hapa kimechofanyika na kinachofanyika na sio ndoto za kitakachofanyika
  16. murugalama

    Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    Ethiopia ni mfanikiwa kwa nadharia, kwanza tutapeleka ndege zetu kwa matengenezo kisha watatuuzia umeme ambao utatudumaza akili zetu kwa miongo kadhaa. Kuhusu suala la mizigo labda Serikali tu lkn kwa mfanyabiashara hawezi Ku afford gharama kubwa ya usafiri labda km watapitisha pasipo ushuru...
  17. murugalama

    Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    Jaribu kufikiri kidogo, kutoka Djibouti mpaka Addis Ababa ni km 857 na kutoka Dar es salaam hadi Addis Ababa ni km 2370. Ni mfanyabiashara gani aache Djibouti aje bandari salama. Ni wakati wa kusubiri na kuona.
  18. murugalama

    Waziri Mwijage akana kuhusu kuizungumzia video ya Clouds inayosambaa

    Unaweza usione kutokana na upeo wa fikra ulionao. Umevamiwa na jambazi nyumbani kwako, anataka mfuko wa pesa uliotoka nao Bank na wewe ukawa cooperative ukampatia akaondoka zake bila kuwa threat kwako. Ikitokea majirani wakakuuliza hajakujeruhi sehemu yoyote nawe ukasema hata sijaguswa. Je...
  19. murugalama

    Uchaguzi wa TLS na hujuma za Mwakyembe, tutajua anayechagua ni serikali au wanachama wa TLS

    Kuna umuhimu gani wa TLS kuwepo km haina tija kwa wahusika na jamii kwa ujumla.
  20. murugalama

    Mwenendo wa Dr.Mwakyembe, ni kweli tatizo lao lilikuwa ni Uwaziri Mkuu?

    Mungu mnusuru Mwakyembe, muda si mrefu siasa itampa kisogo na kuonekana kama MTU wa ovyo kuwahi kutokea kwa viongozi wastaafu.
Back
Top Bottom