Search results

  1. Obe

    Makapuku Forum

    Shunie asante kwa magazeti ya jana na leo. Furahiday njema wadau
  2. Obe

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Pumzika Sanctus
  3. Obe

    Makapuku Forum

    .. nakusalimia pia mdau, asante kwa salamu.
  4. Obe

    Makapuku Forum

    ....karibu, tupo sana mdau, kwaresma na ramadhan zikikutana wote tunatumia tiba mbadala
  5. Obe

    Makapuku Forum

    anko wangu kalewa binamu, tumuhurumie tu
  6. Obe

    Makapuku Forum

    ...ha ha ahahaha, napata picha ya mkuu shangazi furahiday hii. Anko, kaa ukijua huyu ni shemeji yangu
  7. Obe

    Makapuku Forum

    Na kila mwanamke bila kujali hali yake, apate nguvu ya kufanikisha ndoto zake na kukamilisha matamanio yake (aspirations). JF ni kubwa na ni sehemu nzuri kuwepo sababu kuna wanawake ambao kila wakati wanaifanya forum hii kuwa sehemu nzuri kuwepo. Katika siku hii ya kimataifa ya wanaweka basi na...
  8. Obe

    Makapuku Forum

    ...acha woga. Duniani ni kuishi na kuishi ni kutokuwa mseja
  9. Obe

    Makapuku Forum

    ....duh, ukisikia kunukishwa nguru ndiyo huku sasa, kuna tofauti kubwa kati ya kustaafu na kustaafishwa kwa naufaa ya umma. Nilistaafishwa kwa nufaa ya umma, hii salamu hainistahili kabisa ndugu yangu, HABARI (kwa sauti ya mtumishi)
  10. Obe

    Makapuku Forum

    ...tumetoka mbali sisi maveteran, tunakutana jmosi kwa mazoezi ya kutafuta appetite ya bia
  11. Obe

    Makapuku Forum

  12. Obe

    Makapuku Forum

    Vyenye aunt yangu Shunie akishangaa anko wangu Lee katokea wapi maana kuna mwamba Curtis De Mi Amor anataka kupata penati dakika ya 3
  13. Obe

    Makapuku Forum

    ...duh, mbona hajaniambia kama kaniacha!!? Nyie mmejuaje, hasa wewe anko wangu, !!!
  14. Obe

    Makapuku Forum

    ....kwa hiyo kule nnakoitwa mstaafu, niko mwenyewe?
  15. Obe

    Makapuku Forum

    ....binafsi sijambo sana, mvua tu huku Mtwara ndiyo inatuficha Asante kwa salamu nazozirudisha kujua kama hujambo pia
  16. Obe

    Makapuku Forum

    ..umekoroga ngao ya kidonge veteran
  17. Obe

    Makapuku Forum

    ...hii lazima ieleweke vizuri. Kwa tunaoruhusiwa mitala basi misuli itakuwa inashtuliwa kwa mtindo wa nne mara moja
  18. Obe

    Makapuku Forum

    Mdau makaveli10 nakusalimia na kukutakia siku nzuri kwako. Uishi sana, afya na mafanikio kwako
  19. Obe

    Makapuku Forum

    ...nadhani ni kitendo kizuri sana. Mfungwa bado ni mtu na anapoondokewa na mtu wake wa karibu basi aruhusiwe kuhudhuria tahadhari zote zikichukuliwa. Sina hakika sana lakini kuna kesi moja (inawezekana alikuwa sio mfungwa tayari) lakini mama mmoja maarufu aliruhusiwa kwenda kuwazika wanaye ambao...
  20. Obe

    Makapuku Forum

    ...kumbe zina tofauti. wazee wa bucket
Back
Top Bottom