Search results

  1. Neylu

    Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

    Huyo pichani ni mjukuu wangu.
  2. Neylu

    Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

    Wewe umeona hukumu imetolewa hapa???
  3. Neylu

    Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

    Hata mimi hiki nimekiwaza pia.
  4. Neylu

    Girls with 'mwanya''

    Hahahahahahaaaaa
  5. Neylu

    Huyu anafaa kuwa Mke au atabadilika?

    Hapo hakuna cha jamaaa....Ni wewee...! Hebu mpe pesa mtoto wa watu...Acha ubahili.
  6. Neylu

    Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

    Heheheeee....Umenikumbusha mbaaaali saaaana. Kuna jamaaa alishawahi kunifanyia huu mchezo unaofanyiwa wewe hivi sasa. Saivi nikikumbuka huwa naishia kucheka tuu...nawaza hivi nilikuwaje mjinga hata sikumgundua mapema...Ila ndio maisha...Kila siku ni kujifunza.
  7. Neylu

    Nimetajiwa mahari milioni 7 ili kuoa kwenye hii familia

    Waambie basi...Wakae na binti yao.!
  8. Neylu

    Hivi mnatumia technic gani kupata likes nyingi humu JF?

    Heheheheee....JF bwaaana...!
  9. Neylu

    Kuna Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA)

    Umeandika kwa uchungu sana...Poleee.
  10. Neylu

    Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

    Siteseki Kaka yangu...Nakubaliana tuu na mtoa uzi. Kwani kuna namna yeyote ile labda wewe umeteseka na huu uzi? Hahaaa
  11. Neylu

    Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

    Umeongea jambo la maana saana!
  12. Neylu

    Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

    Mpaka mwaka huu bado tuu unapigwa au mambo yamebadilika?
  13. Neylu

    Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

    Nimeona tuu hapo "my dear Boys..! Oooh...Wamekusikia vema..!!
  14. Neylu

    Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Oooh...Poleee sana. Kweli umeandika kwa hasira saana.
Back
Top Bottom