Search results

  1. C

    Dala dala scandal

    nimependa ubunifu wa jamaa kapo mzingila yalimkata
  2. C

    Ndoa yangu ipo kimya na imetawaliwa na upweke sana

    jua kwamba mwanamke ana nguvu kubwa ya kumu badirisha mwaume kukweli mpaka hapo mumeo anatimiza wajibu wandoa yake kwako ila jua moyon mwake umechuja. dada bado unafasi ya kuludisha ndoa yako. kama wote mnaenda kazini basi we uwe kwaza kuludi na yeye analudi akukute smalt and sex look na mpokee...
  3. C

    Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    safi kumbe mnatujali sanaaaaaa eeh
  4. C

    Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    [acha izo m2 wangu ataharibu ndoa ya kaka ako kisa tamaa za kijinga tafuta dem wako mbona wako lundo kaka tena wazuri ka nn!
  5. C

    Shule za binafsi zifutwe

    tukisema zifutwe kweli hatuta fika wanafunzi wengi siku iz itoshe shule za serekari zenyewe chach watafuta credeti watasoma wapi kama haito bado idadi ya watu inapanda kwa kasi tukizi funga tutasoma kweli. Ila nakubali ana na wewe kusema ni ghalama sana bac tuombe serekeri iweze kuzuia na...
  6. C

    Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

    ina mana magazijuto ukusoma darasa la nne au ndo vipind vya asubui ulikua umaogopa umande!
  7. C

    Vodacom na promotion yenu mpya ya 50% mbn haifanyi kazi ss hv???????

    pole sana haja ivo 50% ya 30 elfu ni tsh 15 elfu so bado umeliwa jaribu kuongeza hata jelo pengine wata i wezesha tena!
Back
Top Bottom